Sasa kama imeshakufa sababu ni nini has a kuhangaika na kuwakamata kamata wabunge wake? Kwa nini kutumia nyaraka feki na kuisingizia mahakama?Kwani hujasoma ule uzi wangu kuwa UKAWA imeshakufa?
Kaka Lizaboni kama imekufa why tunawakamata Wabunge wao?Kwani hujasoma ule uzi wangu kuwa UKAWA imeshakufa?
Kuchelewa Ku react viongozi wa juu kunakatisha tamaa wapambanaji wanaokamatwa na kuachiwa kama Dr Besigye wa Uganda.Acha watumie nguvu kutufanyia kila aina ya hila lakini hawawezi kuzishinda nguvu za wakati.
Kama imekufa mbona mnatengeneza mazuiyo fake ya mahakama?Kwani hujasoma ule uzi wangu kuwa UKAWA imeshakufa?
Kaka Lizaboni kama imekufa why tunawakamata Wabunge wao?
Tena inanuka kweli kama mzogaUKAWA ilishakufa useme harufu ya maiti yake ndo inakera waungwana.