UKAWA mkae mguu sawa

UKAWA mkae mguu sawa

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Kipenga kinakaribia kupulizwa. Tutaanza na Serikali za Mitaa mwaka huu. Sisi na nyinyi mapambanoni. Siasani. Sasa,mtoto hatumwi dukani.

Sisi tumejiandaa kimbinu muhimu. Tumejiandaa kuzoa Serikali za Mitaa kama taa ya kijani ya mwakani juu ya uchaguzi mkuu. Amini nawaambia,kwa daftari lililopo na mfumo wa uchaguzi tulionao,ushindi wenu utakuwa mgumu sana.

Sisi tutapeta. Mmeziona karatasi za kupigia kura za Vijiji na Vitongoji ? Hata kura zitakazoharibika zitatusaidia. Mtabaki kushangaa tu.

Mkae mguu sawa. Tukutane uchaguzini

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Huo ndo ukwel daftari likibak hlohilo hakuna kipya
 
Kipenga kinakaribia kupulizwa. Tutaanza na Serikali za Mitaa mwaka huu. Sisi na nyinyi mapambanoni. Siasani. Sasa,mtoto hatumwi dukani.

Sisi tumejiandaa kimbinu muhimu. Tumejiandaa kuzoa Serikali za Mitaa kama taa ya kijani ya mwakani juu ya uchaguzi mkuu. Amini nawaambia,kwa daftari lililopo na mfumo wa uchaguzi tulionao,ushindi wenu utakuwa mgumu sana.

Sisi tutapeta. Mmeziona karatasi za kupigia kura za Vijiji na Vitongoji? Hata kura zitakazoharibika zitatusaidia. Mtabaki kushangaa tu.

Mkae mguu sawa. Tukutane uchaguzini

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Nitawashangaa sana hao UKAWA wakishiriki huo uchaguzi kwa daftari lililopo la wapigakura. Sijui watakuwa na matarajio gani!
 
Eti kwenye karatasi ya kupiga kura kwenye uchaguzi huo wa mitaa mpiga kura atatakiwa achore "nembo" ya chama chake mbali na kupiga kura yake!

Sasa sijui kuchora itakuwa ni "optional" au lazima,mimi sijui.

Hii ndio Tanzania yetu nchi yenye amani!
 
Hahahahahaaaaaaa! Mnaweweseka sana. Wapi Mkuu Sixgates?
 
Dalili za ushindi mwakani zinaanza na serikali za mitaa.

Tayari tunaanza kuwachapa. wakati wanakimbilia kusema kura za hapana. sisi tunaangamiza kwenye serikali za mitaa.

Hatutaki mtu kulalamika.
 
Duh! Hata wakichanganya kura za hapana kwenye kura za maoni na za Ndiyo kwenye serikali za mitaa hawatukamati hata kidogo
 
Halafu watu kijijini kwetu wamenipigia simu. wanasema CCM lazima tushinde. wenyewe wamekaa mjini.

Slaa siku hizi siasa zake za kidijitali. yuko ofsini na siasa za matamko.
 
Likitumika daftari hili lililopo hakuna haja ya kupiga kura kwa sababu vijana wengi watakosa haki yao ya kupiga kura kwani wengi sana hawajaandikishwa na hii ndio shida kwa serikali ya ccm kwani wanaogopa kuandikisha upya wakijua vijana wengi wataikataa ccm.Leo nimesikia wametangaza vijana tujitokeze kupiga kura na kugombea wakati hawajatuandikisha itakuwaje?sasa nasikia wiki hii neck inakutana na ccm dodoma,kweli tutafika?Raisi ametuambia tugombanie uongozi lakini hawajatuandikisha tutapigaje kura?Daftari liboreshwe kwanza tafathali
 
Liwe hili au jipya au lolote. Ukawa lazima mkae chini.

Tutawachapa mtashindwa hata kupiga kampeni 2015.
 
Nitawashangaa sana hao UKAWA wakishiriki huo uchaguzi kwa daftari lililopo la wapigakura. Sijui watakuwa na matarajio gani!
Uchaguzi wa Serikali za mitaa hautimii daftari la wapigaab kura la NEC
 
Liwe hili au jipya au lolote. Ukawa lazima mkae chini.

Tutawachapa mtashindwa hata kupiga kampeni 2015.

Mkiitisha uchaguzi bila daftari kuboreshwa mtaona Moto, tuta mark nyumba za kila wanaccm si mko wachache then itakuwa ni KUWABAKA Tu. Tena mijamaa ya CCM mingi Ina wowowo vere tafunikabo, ili mtambue kuwa nchi hii ni yetu sote sio ya nyie majizi peke yenu. Kinachowapa kichwa ni kwa vile mna dola na jeshi lakini mitaani mko wachache mno..
 
Wakuu ni kweli kwa mbinu hizi tutashindwa uchaguzi. Embu niambie mpango wa serikali ni kwamba mabalozi wa ccm ndio wataongoza watu walioko chin ya ubalozi kwenda kupiga kura na ni uamuzi wa serikali huo eti kwa kisingizio cha kupunguza gharama na muda. Halafu tunajichanganya uchaguzi huu hautumii daftar la wapiga kura bali register sasa tumekaa tu tunasubir daftar na uchaguzi ni keshokutwa. Sometime vinatia hasira viongoz hawatoi miongozo lkn magamba wapo mzigoni full time na wameanza mchakato wa uteuzi kupitia chama chao cha mapuuz sis bado kimya sasa sijui tunasubiri mashibuda (makapi) ama ? Nchi imeiva hii nashangaa viongozi wetu wanashindwa kutu switch tu
Eti kwenye karatasi ya kupiga kura kwenye uchaguzi huo wa mitaa mpiga kura atatakiwa achore "nembo" ya chama chake mbali na kupiga kura yake!

Sasa sijui kuchora itakuwa ni "optional" au lazima,mimi sijui.

Hii ndio Tanzania yetu nchi yenye amani!
 
Tuache hii mambo ndugu zangu twendeni field kwa sasa mapuuzi yalipotufikisha hakuna haja ya siasa za kiistarabu tena! Toa gambe weka gambe ubaya ubayani twendeni nao sawa hawa mapuuzi vinginevyo tutabaki kulalamika nyuma ya keyboard huku tunateketea! Kizazi hiki kibarikiwa utashi wa kutambua maovu ya mapuuz why tunashindwa kuchukua hatua?
Mkiitisha uchaguzi bila daftari kuboreshwa mtaona Moto, tuta mark nyumba za kila wanaccm si mko wachache then itakuwa ni KUWABAKA Tu. Tena mijamaa ya CCM mingi Ina wowowo vere tafunikabo, ili mtambue kuwa nchi hii ni yetu sote sio ya nyie majizi peke yenu. Kinachowapa kichwa ni kwa vile mna dola na jeshi lakini mitaani mko wachache mno..
 
Kipenga kinakaribia kupulizwa. Tutaanza na Serikali za Mitaa mwaka huu. Sisi na nyinyi mapambanoni. Siasani. Sasa,mtoto hatumwi dukani.

Sisi tumejiandaa kimbinu muhimu. Tumejiandaa kuzoa Serikali za Mitaa kama taa ya kijani ya mwakani juu ya uchaguzi mkuu. Amini nawaambia,kwa daftari lililopo na mfumo wa uchaguzi tulionao,ushindi wenu utakuwa mgumu sana.

Sisi tutapeta. Mmeziona karatasi za kupigia kura za Vijiji na Vitongoji ? Hata kura zitakazoharibika zitatusaidia. Mtabaki kushangaa tu.

Mkae mguu sawa. Tukutane uchaguzini

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Mzee Tupatupa wa Lumumba have fafanua, ni daftari gani litatumika serikali za mitaa kati ya Daftari la tume la wapiga kura au Daftari la mkazi ambao litatumika kila uchaguzi wa serikali za mitaa? Likitumika daftari la mpiga kura la tume la sasa, mimi kwa mtazamo wangu upinzani tutakuwa na nafasi finyu sana ya kushinda tutashinda maeneo yale yale tunayoshindaga maana watu wengi wanaotuunga mkno hawajaandikishwa na CCM haitaki waandikishwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom