Dah, sikujua kama wanayo mamlaka kutuburuza wanavyopenda.Siyo tu humu JF hata kwenye magazeti nimeliona hili jambo.Na kama halina ukweli basi wahusika wangekanusha haraka sana.Na mhusika mkuu hapa NI WM Pinda!

Dah, sikujua kama wanayo mamlaka kutuburuza wanavyopenda.
Nyie watu wa maGAMBA cjui mnatumia viungo gani kufikiri yaani nyie muda wote mnafikiria KULA tu,,,ndio maana mnachaguana kwa Sahani ya WALI MAHARAGE sasa watu km nyie mna umuhimu gani kwenye NCH hii
Nyie ukawa ndio wapuuzi sana mnaua watu kwenye Maandamano yenu halafu baadae mnaenda kunywa juice IKULU
Kujibishana naww nisawa na kumkimbiza Mwendawazimu alieniibia NGUO zangu km mnaushahidi huo Mnashindwa nini kuwachukulia hatua zakisheria ikiwa mnaongoza Serikali,,,,!