King Suleiman
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 496
- 329
Wapinzani wakikubali kushiriki uchaguzi huo wa serikali za mitaa December bila daftari kuboreshwa na tena uchaguzi ukisimamiwa na TAMISEMI ( ofiisi ya waziri mkuu wa CCM), basi wasubiri maumivu makali kama anavyojitapa Nape, they must go extra miles kukataa jambo hilo.
Wanatakiwa wakomalie sana mambo mawili ya kuwasaidia, moja uchaguzi usimamiwe na tume ya uchaguzi ( maana ndio wenye mamlaka na utaalam na chaguzi zote ndani ya nchi), hilo halitoshi hata tume wakisimamia kwa daftari la zamani ni hasara kubwa, so wakomae sana Daftari jipya litumike hata uchaguzi ukisogezwa mbele ni sawa, maana hapa ndio ccm itajipanga na kufanya mambo yao, la sivyo wasikubali kushiriki uchaguzi kwenye mazingira haya or wakubali wao ni wasindikizaji and CCM are leaders.
Naamini usiamini wapinzani wa TZ wasivyi na mbinu mbadala watakuambia tutakomaa nao hivyo hivyo, and that will be end of story na biashara kuishia hapo, upinzni imarara ninmuhimu sana kwa ustawi wa taifa lolote kwaajili ya check and balance