msolopagaz 1
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 312
- 81
Pinga ya Jessica au UDOM kwa vielelezo.
Hii Ina maslahi gani kwa Taifa .... Record ziko clear kama huelewi umekataa kuelewa na hakuna wa kukusaidia....! Leta hoja nyingine ya msingi au nyamaza kimya ...