UKAWA mjitafakari, mmepwaya sana

UKAWA mjitafakari, mmepwaya sana

Hili ndo swali sijaona majibu yake bado, watu midomo mireefu, majibu hakuna. Watuambie ilikuwaje vijana zaid ya 7000 watoto wa masikin, wakafukuzwa kama Mbwa na askar wenye silaha za moto usiku usiku, bunge la CCM likabariki na kuwafukuza UKAWA nje, wakat chuo hicho hicho kuna watu wasio na sifa mpaka leo wapo?
Wacha ujinga wako nani kakwambia ni watoto wa maskini
 
Tunamshukuru baba jesca kauli yake ya vilaza itaongeza mashabiki wa ukawa.
 
Ni kweli kabisa Ukawa (upinzani) wa sasa ni tofauti na ule wa kina slaa na Zitto.

1. Upinzani wa akina Zitto na slaa ulikuwa ni wa kiwanaharakati.

2. Upinzani wa sasa (ukawa) ni wakiutawala. Hivyo Ukawa unajiamini kuwa Wao wanauwezo zaidi wa kiuongozi kuliko hii serikali ya "HAPA KASI TU" na huo ndio ukweli ulivyo.

Elewa upinzani unaojijenga kwa kutegemea kutunga hoja hao hawajakamilika kiuongozi.

Upinzani unajiamini kiuongozi huo unategemea kujijenga kimipango zaidi.

Msalimie Jesca na umuulize... AMEFIKAJE UDOM?
Hoja ni kipi wananchi wanakihitaji kwa sasa baada ya miezi sita tangu uchaguzi mkuu?
Harakati kuelekea uchaguzi mkuu 2020 , au huduma bora za kijamii ili kuwaletea maisha bora pale walipo?

Hizi sera za kicks sio vision ya watanzania kwa sasa, tatizo tumegeuza siasa kuwa sehemu ya maisha ya kugangia njaa. Kila kitu siasa hata vile visivyohitaji siasa bali taaluma, akheri hata magufuli amethibitisha uzalendo kwa kusomesha pale udom.

Je unaweza kunithibitishia kama pale udom tunaweza kuwakuta watoto Au wanafamilia wa karibu wa viongozi gani wa UKAWA ?
 
Ahsante, Lakini huenda ujinga kwako sio ujinga kwa watanzania milioni 45.
Ndio maana tulikataza mwenge usiwepo,, umejiona ambavyo unaakili sawa na jesca,, ninyi watoto mliopatikana kwenye mkesha wa mwenge mnasumbua sana,, haya futa haraka aalaa,, nenda kale,,,,
 
Kupwaya kwani ukawa ni kiatu au nguo. We tulia kila mmoja afanye yake tutaheshimiana tuuuu
 
Wacha ujinga wako nani kakwambia ni watoto wa maskini
Sasa ww kilaza kwa akili yako unadhani kuna mtu serious atampeleka mtoto wake akasome special programme ya kuja kuwa mwalimu? yani mtu asimlipie mtoto wake form V na VI aje aende chuo kikuu akasome Proffesion zinazolipa amwache anatanga tanga na diploma za ualimu, hiv ni kwa nin ninyi ni wajinga namna hii? sababu hata kama ni kutetea chama hii level imezidi.
 
Ndefu sijasoma aliyepoteza mda kusoma anipe samare tu
 
Ni kweli kabisa Ukawa (upinzani) wa sasa ni tofauti na ule wa kina slaa na Zitto.

1. Upinzani wa akina Zitto na slaa ulikuwa ni wa kiwanaharakati.

2. Upinzani wa sasa (ukawa) ni wakiutawala. Hivyo Ukawa unajiamini kuwa Wao wanauwezo zaidi wa kiuongozi kuliko hii serikali ya "HAPA KASI TU" na huo ndio ukweli ulivyo.

Elewa upinzani unaojijenga kwa kutegemea kutunga hoja hao hawajakamilika kiuongozi.

Upinzani unajiamini kiuongozi huo unategemea kujijenga kimipango zaidi.

Msalimie Jesca na umuulize... AMEFIKAJE UDOM?
Mkuu we kweli kilaza tena siyo kilaz ni kiazi kilicho oza,Mkuu unaonekana ulidumaa akili ukiwa tumboni mwa mama yako..upinzani upi huo unaozungumzia upinzani wa kuzungusha mikono..kapimwe akili
 
Hili ndo swali sijaona majibu yake bado, watu midomo mireefu, majibu hakuna. Watuambie ilikuwaje vijana zaid ya 7000 watoto wa masikin, wakafukuzwa kama Mbwa na askar wenye silaha za moto usiku usiku, bunge la CCM likabariki na kuwafukuza UKAWA nje, wakat chuo hicho hicho kuna watu wasio na sifa mpaka leo wapo?
Mkuu wewe saizi yako ni kuuza line za mtandao wa tigo..kama mdomo mrefu unao wewe.Kuhusu Jesca kufika chuo kikuu nenda TCU au ukamulize mwenyewe atakupa majibu stahiki.
 
Jesca amefikaje chuo kikuu?

Umeandika ujinga mtupu.

Vp mkuu jesca hajambo?

Wajukuu wa mwendo kasi wapi kazini, ila tulikuwa tunamkumbusha Baba wa mwendo sukari inashuka bei lini?

Gari la Mwendokazi

Duh! Hadi kuna thread za MwendoKasi?

Jesca naye ni kilaza amefikaje chuo kikuu

Tunamshukuru baba jesca kauli yake ya vilaza itaongeza mashabiki wa ukawa.
Kweli siku hizi Chadema imeishiwa watu wa kujibu hoja ....sasa hapa mmejibu nini.?

Kwa mwendo huu wa kuparamia hoja za matukio, CCM watausumbua sana Upinzani....CCM watakua wanabadilisha tu CD nyie ni kucheza tu bila kujiuliza.!
 
UKAWA wamefirisika hadi fikra. Ngoja wapigishwe kwata nchi nzima. Hawana jipya zaidi ya kusubiri matukio ili waweze kudandia. Mtoa uzi upo sahihi kabisa.
 
Mkuu wewe saizi yako ni kuuza line za mtandao wa tigo..kama mdomo mrefu unao wewe.Kuhusu Jesca kufika chuo kikuu nenda TCU au ukamulize mwenyewe atakupa majibu stahiki.
Sawa punga la lumumba, ila tunahitaji majibu Jesica alifikaje chuo kikuu na div IV 30, wakat watoto wa masikin wamefukuzwa na Mbwa na polisi kama wahain. Hahaaa...hahaa
Hii kashfa ni nzito sana tofauti na mnavyoichukulia, na sio ya kufutika leo wala kesho.
Yote tisa kumi, Jesca alifikaje chuo kikuu?
 
Kazi kubwa waliyonayo CCM kwasasa ni kubadili CD tu! Chadema wanacheza kila nyimbo iwe singeli wamo, mchiriku , Hip hop wamo. Mwisho strategic issues zinapita kwa mlengo wa ki CCM huku tukibaki na sifa ya kuongea kwa uchungu mishipa juu! damn!
 
Kupwaya kwani ukawa ni kiatu au nguo. We tulia kila mmoja afanye yake tutaheshimiana tuuuu
Kupwaya kuna maana pale inashindikana kujaza eneo au umbile husika kulingana na mahitaji rasmi.
Kushindwa kutimiza malengo rasmi ya upinzani ndio kupwaya. Kwenyewe.

Hatuwezi kuacha kila kitu kijiendee kama vile tanzania ni ya wateule fulani eti kila kitu wao ndio waamuzi, tena kwa kitumia hela ambazo wakati mwingine ni jasho letu wenyewe no.....no nooo!
 
Back
Top Bottom