UKAWA: Mjifunze sasa kuwa wakweli

UKAWA: Mjifunze sasa kuwa wakweli

Teamubwabwa

Senior Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
172
Reaction score
59
Watanzania tumejifunza kutoka kwenu kuwa wanasiasa sio watu waaminifu, hasa hapa kwetu Tanzania. CHADEMA mjiangalie upya kwani baada ya uchaguzi huu na miaka 5 ijayo, majimbo yote mliyonayo yanarudi CCM.

Nalisemea hili pia kwa CUF kama mtaendelea kusimamia uongo na utapeli mliotudhihirishia kuhusu mashaka mliotuaminisha kwa mgombea wenu wa urais akiwa CCM kuwa hafai ni fisadi na sasa mnataka tumpe urais kupitia kwenu.

Watanzania sio wapumbavu, tunajitambua.
 
Mbowe kaingia mitini na watu wake wa kutengeneza matokeo fake wanaendelea kukamatwa.
Ulaghai wa kula hela kisiasa kwa kuuza chama kwa mafisadi sasa unafurumuka!
 
Watanzania tumejifunza kutoka kwenu kuwa wanasiasa sio watu waaminifu, hasa hapa kwetu Tanzania. CHADEMA mjiangalie upya kwani baada ya uchaguzi huu na miaka 5 ijayo, majimbo yote mliyonayo yanarudi CCM.

Nalisemea hili pia kwa CUF kama mtaendelea kusimamia uongo na utapeli mliotudhihirishia kuhusu mashaka mliotuaminisha kwa mgombea wenu wa urais akiwa CCM kuwa hafai ni fisadi na sasa mnataka tumpe urais kupitia kwenu.

Watanzania sio wapumbavu, tunajitambua.

Hii nchi haikutakiwa kuongozwa na hilo genge la wahuni
 
Wazalendo tulipiga kura kwa magufuli ili nchi isiingie mikononi mwa wapiga dili
 
Back
Top Bottom