DSN
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 2,837
- 1,686
Msanii wa micholo ya kuelimisha jamii Kipanya anafanya maongezi Na Wana Ukawa na anaonekna kuwasisitizia kwa kuwauliza ''mbona Wamezubaa?
Naomba niambiewe maana ya neno kuzubaa?manake uenda tafsiri yangu na hii aliyoito Kipanya leo uenda zikawa hazina uwiano.Mie niliona ukimya usio na ubunifu wenye kutufanya sisi walaji tuone kuna jambo jema na la msingi linakuja...yani PILAU ikiwa inapikwa kila mmoja katika eneo husika ujua PILAU kweli linapikika maeneo hayo.Tumeona jinsi pilau la CCM linavyo tayarishwa japo kuna wapishi wengine baadhi wapo wapo tu lakini ndio demokrasia hiyo lazima ikutane na wafuata sheria na wavunja sheria.
Binafsi sioni ubunifu kutoka UKAWA kuhusiana na mazingira ya kutuaminisha kuwa watakachotuletea ni BORA bali wanafanya mambo as if ni mambo ya TIMING na sio Programmed Kama CCM.Binafsi nilitegemea ubunifu huru wenye fikra mpya na hata mgombea wao lazima awe wazi leo hii kungekuwa na judgement ambazo zingekuwa zinaendelea kwenye vichwa vya watu hata mapungufu yangekuwa yashatafutiwa majibu mapema.
CCM wanajua wanachokifanya kwani ndani ya wavunja kanuni, kuna watu makini wenye kujua kanuni hizo kama silaha yao..lakini ujumbe kwa umma kwa hakika unatufikia vyema tu.Sasa hawa ndugu zangu UKAWA mmmhh Ukimya huo NILIUONGEA HAPA.Kama Mlaji Nimeshiba Presidential Buzzy Ya CCM 2015, Upinzani Mko Wapi, Buzzy Strategy Yenu Nini?
Kipanya anasema: