jacob wila
Member
- May 20, 2012
- 45
- 6
Hii combination imewachanganya magamba kiasi kwamba wanaludi na stori za zamani zenye kuvunja ukawa... Yaliyopita sindwele tugange yajayo ukawa mungu yupo nanyi ya nyuma hatuangalii tena wasaliti wa vyama nao hoi kuona combination ya ukawa...mungu ibariki tanganyika na zanzibar
Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
Sent from my iPhone 5 using JamiiForums