Ukawa matatizo ya umeme uwe mtaji wenu wa kuiondoa ccm madarakani

koryo

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
639
276
Kutokana na ukosefu wa umeme nchi nzima sasa UKAWA uuchukue matatizo haya kama MTAJI wao wa kuelezea wananchi kuwa CCM imeshindwa kwa kutowaondolea wananchi matatizo ya umeme. Hii iwe ajenda mahususi ili wananchi waelewe na kuikataa CCM katika uchaguzi unaokuja tarehe 25.10.2015.
 
tanesco imefilisika UKAWA mbona mnanyamaza wakati tuko gizani???UKAWA ndio tumaini pekee kwa watanzania....
 
Hata mm nashangaa kwa nini ukawa hawalizungumzi kwa kina hl jambo? Yan hata hao mashabiki wa ccm sidhan kma wanaridhka na hii katakata..Ukawa hii pia ni fursa izungumzieni majukwaani.
 
Wanawasubiri mliongelee tu waulete umeme wauhakika ili wawazibe midomo nakutamba mbele za watz nawashauri msijaribu kuliongelea kwani wao watafanikixha nakujisifu majukwaani siasa ni game flaani hivi
 
Back
Top Bottom