Hahahhahaaa nimecheka sana sana basi naomba nikubaliane na Mleta mada, ndio maana wazee wengi wa CCM wameshatangaza kustaafu, hawatagombea tena!We Elli cheka tuu! Mie nakubaliana na mtoa mada kuwa kahuruma lazima kawepo kidogo kwani kuelekea octoba misiba itakayo tokana na mashinikizo ya damu itakuwa mingi sana mitaani. Kwa hali hiyo huoni michango ya sanda itawaumiza sana wananchi?
Yule msukule wao kiongozi mkuu wa wasaliti hajaanza kuwasaidia ile mikoa 14
Naona misukule mnapiga porojo zenu..haya! mimi mpitaji tu!