UKAWA kwanini mnawafanyia CCM vibaya hivyo

lendila

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
5,805
Reaction score
4,374
UKAWA kwanini mnawafanyia wenzenu wa CCM vibaya hivyo?

Mmepanga kikosi imara sana kila kona ya nchi mmeweka kikosi imara mnazunguka huku na kule sio vizuri,huo ni mchezo mbaya sana mnataka kuwaua wenzenu kwa presha kwanini?

Waoneeni wenzenu huruma hata kama ni mashindano ya kisiasa
huku Lissu huku Mbowe huku Lipumba huku Mbatia.

Mimi ni mwana UKAWA mwenzenu lkn mkiendelea kuwafanyia CCM vibaya hivyo nitachukia.
 
Usiwaonee huruma haya makitu mafisi ccm

swissme
 
Yule msukule wao kiongozi mkuu wa wasaliti hajaanza kuwasaidia ile mikoa 14
 
Usiwaonee huruma haya makitu mafisi ccm

swissme

ni kweli lkn ukawa wamejipanga vizuri sana kiasi cha kuwaonea huruma ndugu yangu,ww unafikiri kwa mashambulizi ya ukawa hawa jamaa baada ya uchaguzi watakula wapi? si watashikwa na utapia mlo? ss tuko nje ya uwanja tumeshazoeya kushinda njaa kwa hiyo hatuna neno na mtu je wao walio zoea kula milo kumi kwa siku wataenda wapi?
 
Hahahahaaaaa hivi MANI umeiona kweli hii kaka
 
Last edited by a moderator:
leo sioni thread ya wale jamaa wa equator grill bar and -----house
 
Huu unaitwa mtindo wa kupigwa kote kote
Lazima mwaka huu wakae,Acha wapigwe tu..tumechoka
 
wapo wanahangaika kujiongezea muda wa ikulu wase.n.n.g.e hawa fisi
 
UKAWA kwanini mnawafanyia wenzenu wa CCM vibaya hivyo?

Mmepanga kikosi imara sana kila kona ya nchi mmeweka kikosi imara mnazunguka huku na kule sio vizuri,huo ni mchezo mbaya sana mnataka kuwaua wenzenu kwa presha kwanini?

Waoneeni wenzenu huruma hata kama ni mashindano ya kisiasa
huku Lissu huku Mbowe huku Lipumba huku Mbatia.

Mimi ni mwana UKAWA mwenzenu lkn mkiendelea kuwafanyia CCM vibaya hivyo nitachukia.

wameomba msaada kwa tsh 700m kwa kile chama cha mfalme ili awasaidie
 
UKAWA kwanini mnawafanyia wenzenu wa CCM vibaya hivyo?

Mmepanga kikosi imara sana kila kona ya nchi mmeweka kikosi imara mnazunguka huku na kule sio vizuri,huo ni mchezo mbaya sana mnataka kuwaua wenzenu kwa presha kwanini?

Waoneeni wenzenu huruma hata kama ni mashindano ya kisiasa
huku Lissu huku Mbowe huku Lipumba huku Mbatia.

Mimi ni mwana UKAWA mwenzenu lkn mkiendelea kuwafanyia CCM vibaya hivyo nitachukia.

Huruma yako bana lendila imenifurahisha tukipata watu wenye huruma na maccm kama wewe kwa mbaaaliiii wanaweza pata vijimbo kumi mwaka huu!
 
Last edited by a moderator:
Haya majitu lazima yang'oke manake yanatia kichefuchefu.
 
Chama cha Mapunga hawatoboi October wengi pressure itawaondoa m aana wao kwa wao moto unawaka huku Ukawa inatapakaa kila kona
 
Naona misukule mnapiga porojo zenu..haya! mimi mpitaji tu!
 
Back
Top Bottom