UKAWA kuunguruma viwanja vya mbagala kesho 06/12/2014

Evz

JF-Expert Member
Apr 28, 2014
674
130
Kesho kutakuwa na mkutano mkubwa wa ukawa maeneo ya mbagala kwa mbiku kuanzia saa nne asubuh mpaka saa12 jion. Mh mnyika na mh halima mdee watakuwepo pia. Karibuni sana ukawa tunawasubiri kwa hamu mana magamba yanahonga buku5 tano kila nyumba ili yapite uchaguzi wa serikali za mitaa.
 
Back
Top Bottom