UKAWA kutoingia bungeni-siri yafichuka

UKAWA kutoingia bungeni-siri yafichuka

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
10,708
Reaction score
4,577
Kumbe kwa siku moja wasipoingia wanalipwa 450,000/= kudadadeki!
 
eleza chanzo cha hiyo pesa.........mkubwa huwezi weka mambo mazito bila kutanabaisha vizuri
 
Toka mwanzo tulishasema kuwa UKAWA wamelipwa ili wavuruge mchakato wa Katiba! ila kwa kuwa mbinu zao ovu zimeshajulikana, hawatafanikiwa daima!
 
Mbona hamsemi kalipwa na nani na kuweka ushahidi? Kusema sio kutuaminisha. Acheni cheap politics za kitoto.
 
Eleza vizuri ueleweke wanalipwa na nani? Je huyo anaowalipa anafaidika nini na katiba ya sasa?
 
1579850_1566821_1016373_180017485508842_1362571945_n_jpegc2aaf718cdaf080938d4b2cab39b252e_jpeg756b548313a9abe7093725d587d77d66
 
Kadri muda unavosogea,maccm yanakosa mbinu ya kuwashawishi ukawa(sauti ya watanzania)
ndio maana jana taisoni kazomewa sana pale itv
 
Nyie wapuuzi hapa si mahala pa kupost chochote .......acheni ujinga uliochangamana na upumba.vu unaochangiwa na njaa inayosababishwa na MaCCM .......
 
Kumbe kwa siku moja wasipoingia wanalipwa 450,000/= kudadadeki!

Kama bunge lilikuwa linawalpa laki3 kwa siku na wanaoga matusi ya interahamwe, sio mbaya kama kapatkana mfadhili wa kuwalpa zaidi so nachowashauri wapge mikutano nchi nzima kueneza sumu ya Ccm.
 
Toka mwanzo tulishasema kuwa UKAWA wamelipwa ili wavuruge mchakato wa Katiba! ila kwa kuwa mbinu zao ovu zimeshajulikana, hawatafanikiwa daima!

very weak point we need evidence (data) for this
 
Back
Top Bottom