UKAWA kusifia uchaguzi wa Kenya ni kutojua ulivyofanyika

Sinda69

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
378
218
Kama uchanguzi wa Tanzania ukijafanywa kama ule wa Kenya ulivyoendeshwa, UKAWA watakuja lia sana.

Na ushindi wa JUBILEE kwa mbinu hizohizo zilizotumika, zitatumika kuiwezesha CCM kuendelea kubaki madarakani. Hii ni faida kubwa kwa CCM na ni hasara kwa UKAWA wanaoshabikia pasipotafakari ya kina. Mahara yake kwao UKAWA.

Chris Msando aliyekuwa IT manager kauawa kwa makusudi kabisa ili ushindi upatikane, lakini UKAWA wanaona sawa tu.

Fomu za matokeo zilizotumwa kituo kikuu wasimamizi wanalalamika matokeo yaliyotoka siyo yenyewe.

Mfano msimamizi wa eneo la Kisumu anashuhudia kwamba, eneo lile Raila alimshinda mbali sana Uhuru lakini matokeo iliyosoma tume kuu IEBC imeonyesha kwamba Uhuru aliongoza eneo lile la Kisumu kwa kumshinda Raila kwa mbali sana.

Nionacho UKAWA wangetulia wakatathmin njia zote zilizotumika KENYA kumpa ushindi Uhuru kuliko kukurupuka na kuusifia tena kumsifia Uhutu kwa rsfu zote alizotumia kuupata udhindi.

Nawaona UKAWA kama muungsno usiyo kuwa makini na namna ya kutathmini mambo.

UKAWA wanaunga mkono ushindi wa Uhuru kwa vile tu Raila ni rafiki wa Magufuli sidhani kama hii ni siasa nzuri.

UKAWA wangejifunza ni kivipi pamoja na mikakati mizuri ya NASA bado JUBILEE wamefanikiwa kuwaibia (nadhani) ili uchaguzi wa 2020 nao wawe makini kuziba hiyo mianya, sasa badala yake wao wanamsifu Uhuru kwa mbinu zote alizotumia hadi kutangazwa mshindi.

NI USHAURI WANGU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio UKAWA tu bali hata waangalizi wa Kimataifa wameusifia.Halafu jinsi Kenyatta anavyojua Demokrasia amewaruhusu wanaopinga ushindi wake waandamane kama wanataka.Yaani Kenyata amekomaa sana Kidemokrasia hadi raha.
 
fanya kazi ukawa haikusaidii chochote

cha zaidi kamfute machozi babu yako wa NASA
 
Back
Top Bottom