TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 11,391
- 31,451
Mtabwabwaja na kuhororoja sana mwaka huu, sisi kimya.
Tunawakumbusha tu, chopa tatu kata tatu, Kalenga , Chalinze, Serikali za mitaa.
yaani hiyo kauli inanikera sana
Mtabwabwaja na kuhororoja sana mwaka huu, sisi kimya.
Tunawakumbusha tu, chopa tatu kata tatu, Kalenga , Chalinze, Serikali za mitaa.
Sumbawanga ccm uchaguzi wa serikali za mitaa mlishinda mitaa mingapi?jibuni hizo hoja juu mmeshashindwa mjiandae kuwaachia wenye uwezo kuongoza .Mtabwabwaja na kuhororoja sana mwaka huu, sisi kimya.
Tunawakumbusha tu, chopa tatu kata tatu, Kalenga , Chalinze, Serikali za mitaa.
Hawawezi
Kweli kabisa, sasa mngeanza kuchagua baraza la mawaziri.
Tunataka tume huru ya uchaguzi siyo hii ya ccm.kwa Tume hii ya uchaguzi?
kwa TISS hii hii?
Jiandaeni kisaikolojia
Lema, Msigwa na Sugu? Kwakweli UKAWA itakuwa na serikali mcharoKwani huwajui mawaziri vivuli ndo baraza la mawaziri hilo
Sumbawanga ccm uchaguzi wa serikali za mitaa mlishinda mitaa mingapi?jibuni hizo hoja juu mmeshashindwa mjiandae kuwaachia wenye uwezo kuongoza .
Utajua muda ukifika jiandaeni kisakolojia kuachia madaraka bila vurugu mmeshapewa tahadhari na chifuLema, Msigwa na Sugu? Kwakweli UKAWA itakuwa na serikali mcharo
Jibu hoja acha vioja hata uchaguzi wa marudio udiwani arusha Chadema 4.ccm 0 mbona huandiki hilo ccm mjiandae kisakolojia mmeshapewa tahadhari mapema na Chifu msitubeze Ukawa tuwaondoa madarakani kwa sababu mmeshinda kutekeleza hayo niliyoandika hapo juu.Unajuwa mmeshapoteza viti vingapi vya ubunge mpaka sasa? au hujuwi nikujuze?
Kwa haraka haraka; @Zitto, Arfi, Shibuda, Mnyika, Lema, Mbowe.
Unayajuwa hayo?
By FaizaFoxy![]()
![]()
Mtabwabwaja na kuhororoja sana mwaka huu, sisi kimya.
Tunawakumbusha tu, chopa tatu kata tatu, Kalenga , Chalinze, Serikali za mitaa.
HahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaahahahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahUtajua muda ukifika jiandaeni kisakolojia kuachia madaraka bila vurugu mmeshapewa tahadhari na chifu
Tunataka tume huru ya uchaguzi siyo hii ya ccm.
Hizi bangi sijui BAVICHA wanavutiaga chooni .