UKAWA kushinda kwa kishindo uchaguzi mkuu

UKAWA kushinda kwa kishindo uchaguzi mkuu

Ccm ilipeta 2010 kwasababu upinzani uligawana kura.mwaka huu hawagawani tena bali wanazichanganya pamoja.na ccm ilivyojichokea ni dhahiri ukawa lazima wachukue nchi..unless otherwise ccm ifanikiwe kuwavuruga kabla ya uchaguzi.tunaujua moto wa chadema ulivyo,sasa ongezea moto wa cuf,nccr na nld ni sheeeeda!ccm haina pa kutokea ndugu zangu..be blessed!
 
Kama CCM itamsimamisha Stephen Wasira, hawa ukawa hawatalamba kura yoyote kanda ya Ziwa.
Jamaa atawabirigua maradufu na hataamini macho yao.

Wassira yupi? huyu ambae mwenyekiti wa serikali ya mtaa nyumbani kwake bunda ni wa chadema
 
Ccm mwaka huu mtaweweseka sana Ukawa ipo imara kuliko ccm huu ndo mwaka wa mwisho kwa utawala wa ccm
 
naomba kuuliza, kama ukawa watasimamisha mgombea mmoja watakuwa pia na ilani moja ya uchaguzi?
 
ilani ya ukawa itakuwa moja kwa ajili ya maendeleo ya taifa
 
CCM hawana majengo waliyojenga bali ni majengo waliyoyapora toka kwa watanzania.

yataludi serikalini yahudumie wananchi wote sio chama tena...kwa ushauri tu hata majina yabadilishwe kutoka nyinyiem hadi majina mengine
 
yataludi serikalini yahudumie wananchi wote sio chama tena...kwa ushauri tu hata majina yabadilishwe kutoka nyinyiem hadi majina mengine

Hapo sasa mnataka vita. Kama ccm walitumia vizuri sera zao kuwashawishi wananchi kushiriki shughuli za ujenzi wa vitegauchumi vyao, kwa nini na nyinyi msiwatumie wananchi hao hao kujenga vya kwenu? Kwa mipango hii ya kuleta umwagaji damu hakuna atakayechagua Rais toka chadema.
 
Huyu Chifu wanzagi anaimbia ccm isiibeze Ukawa,wanaweza kuwang'oa ccm madarakani kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu.Hili halina ubishi hata ccm wanalijua hilo.
Maana kama ni kujihukumu naweza kusema ccm wanajihukumu wenyewe.
Migomo mingi imetokea serikali imeshindwa kutatua,shilingi inaanguka ,ukali wa maisha unaongezeka,mshahara au kipato kiko palepale.Ningekuwa kiongozi mwenye dhamana na serikali ya ccm ,BVR ningeziondoa,kuwarudisha madereva darasani ningefuta.
Ningepunguza kodi kwenye mshahara ya wafanyakazi .Bei za mafuta kama petroli,dizeli na mafuta ya taa ningezisimamia kikamilifu bei ishuke.
Ningewachukulia hatua kali mafisadi wote .
Jk umeshindwa kuyafanya hayo yote ukiwa kama raisi wa tanzania?
Kama serikali ya ccm mmeshindwa kufanya hayo basi mjiandae kuachia madarakani kwa wenye uwezo wa kufanya hayo .
 
Kweli kabisa, sasa mngeanza kuchagua baraza la mawaziri.
 
Mtabwabwaja na kuhororoja sana mwaka huu, sisi kimya.

Tunawakumbusha tu, chopa tatu kata tatu, Kalenga , Chalinze, Serikali za mitaa.
 
kwa Tume hii ya uchaguzi?

kwa TISS hii hii?

Jiandaeni kisaikolojia
 
Back
Top Bottom