jiwe la maji
JF-Expert Member
- May 17, 2014
- 1,062
- 706
Jazba zimmepanda hata unachoongea hukijui.una umri gani?
binafsi sitamsahau BABA RIZ maishani mwangu kwa usanii aliotuletea. simlaumu yeye bali waliomchagua atuendeshee serikali ndio waliofanya makosa makubwa.
........hiv kwenye chama changu hakuna hata wazee wawli watatu hivi waliobaki na hekima na busara zao za kutushauri mpaka tunawasikiliza Wasira na Lukuvi? huku kote ni kuwabembeleza wazanzibari tu? ....nimeamini lengo letu Dodoma ni posho, hapa hamna katiba, sana sana tusubiri mabadiliko ya 15 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano (Tanganyika) kuhusu Tume ya Uchaguzi, Mahakama na mgombea binafsiMaana ya ukawa ni nini? Ni umoja wa katiba ya wananchi. Sasa umoja huu utasambaratika vipi kwa masuala ambayo yanaingizwa kwenye katiba kinyemela na CCM bila kushirikisha wananchi? CCM Ndio itasambaratika kwanza kwani wananchi wanajua Kwamba nchi yetu ilikuwa ni secular kwa miaka 50, kwa maana ya Kwamba haikuwa ikiongozwa kwa itikadi yoyote ya kidini. Cha kushangaza ni Kwamba baada ya CCM Kujenga sana hoja Kwamba kuna vyama vinajenga udini, hatimaye CCM imeamua kusimika suala Hilo Rasmi Liwe kwa Mujibu wa katiba. Hii itakuwa ni moja ya sababu kubwa ya katiba mpya kufeli kwenye kura ya maoni, hivyo to mark the beginning of the end of ccm's dynasty.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wakiweka mahakama yakiislamu tutaweka mahakama yawakristo. Muislam akinishtaki msikitini mimi nitasubiri kuhukumiwa kanisani hataniona msikitini ng'o.
Ukawa majuha kweli.
........hiv kwenye chama changu hakuna hata wazee wawli watatu hivi waliobaki na hekima na busara zao za kutushauri mpaka tunawasikiliza Wasira na Lukuvi? huku kote ni kuwabembeleza wazanzibari tu? ....nimeamini lengo letu Dodoma ni posho, hapa hamna katiba, sana sana tusubiri mabadiliko ya 15 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano (Tanganyika) kuhusu Tume ya Uchaguzi, Mahakama na mgombea binafsi
Kadhi courts itawahusu waislamu tuu, na pia kwa maridha ya mashtakiwa. Haitawahukumu wasio waislamu. Na itakuwa inHusiana zaidi na mambo ya mirathi ndoa na talaka. Mtu wa Dini nyingine hatuhusika.
Kadhi courts itawahusu waislamu tuu, na pia kwa maridha ya mashtakiwa. Haitawahukumu wasio waislamu. Na itakuwa inHusiana zaidi na mambo ya mirathi ndoa na talaka. Mtu wa Dini nyingine hatuhusika.
kwani waislamu hawalipi kodi?mkuu mimi nafahamu kila kitu tatizo sio kuanzisha mahakama bali tatizo ni kwamba waislam wanataka mahakama igaramiwe na pesa za walipa kodi. Waislam wanataka mahakama ya kaadhi iwekwe kwenye bajeti ya serikali.