UKAWA kukutana punde kukanusha propaganda

UKAWA kukutana punde kukanusha propaganda

Tunangojea mwisho tu hapa, now that we've got a little time to wait, we'll wait! Time is a good judge in this issue.:evil:
 
Mbowe apinge kuwa hajapokea mzigo wa 1.5bilion sio ukawa.
 
mkimaliza kukanusha hiyo tunaweka ingine,tunataka muwe busy kukanusha kanusha
 
Mkuu mbona Hilo tunalijua halafu hawana hata aibu orodha yote ya majizi tunayo cha ajabu linakuja gamba hapa linaamua kuzusha uongo.watanzania wa Leo Si wale wa kanga,kofia,t-shirts,Na wapi Kama mlivyozoea.
 
tunaomba kama kuna afisa wa mahakama hiyo yumu humu tunaomba atujuze no ya hiyo kesi ipo? na na inahusu nini?kutoa mzizi wa fitina
 
Mlifungua uzi wa kizushi mods wakaufunga. Ila kaka/Dada, unajua hata ukiwashabikia akina chenge,msoto wa maisha hauchagui wewe ni wa chama gani. Gharama kubwa za umeme hazichagui ccm wa la ukawa. Tuwe pamoja kuwapinga hawa wezi tupate unafuu wa maisha
Wote walioshiriki kupokea pesa hizo ni mafisadi. Tuungane kuwakemea bila kujali chama. Kama mbowe alichukua tumkemee pia. Kilaini naye akemewe
 
Kanusho la kipuuzi sana hili

Ulitakaje we mdada wa mipasho !?

...Ulijaribu kumchafua Lowassa sasa ndio chaguo na tumaini pekee lililobaki.

Maana wakati waume zako wanagawana fedha za escrow, walidhani wamepata kumbe wamepatikana.

Lowassa amewapatia pazuri !

Labda ukajiuze kwake sasa
 
.. Lizaboni ushapimwa akili yako mara ngapi????
 
Last edited by a moderator:
Aliyeanzisha uzi huo wa uzushi apewe ban ya milele kwa kuleta uzushi katika jambo lenye umuhimu mkubwa kwa Watanzania.

Si ni wale wapuuzi wa buku saba! Halafu wakaja wakaanZa kutoa povu hapa. Hata hivyo sioni sababu ya Ukawa kuuutolea tamko huuu utumbo, hawa ni size yetu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wakuu wa UKAWA bungeni Dodoma kukutana hivi punde katika ukumbi wa Msekwa,pamoja na mambo mengine kukanusha vikali na kukemea propaganda chafu ya wana-ESCROW zinaenezwa kwamba wamefungua kesi mahakamani.Nitawajuza zaidi

kAMA HALINA UKWELI WALA WASINGEKUTANA KUUKANA HUO UZI, ULIOWEKWA HAPA JF KAMA TETESI, AU PROPAGANDAR KAMA MNAVYOUITA.

LAKINI HIYO ACTION YA KUKUTANA NA KUUKANA KAMA UKAWA BASI UJUIE PANA UKWELI HAPO BALI HIZI NI MBINU ZA KUHAFIFISHA MAKALI YA HIYO ISSUE ITAPOJITOKEZA KIUKWELI, AU TUTAKAPOONA BW MARANDO ATAKAPO ITETEA IPTL MAHAKAMANI.

NAULIZA NA HAO WABUNGE WA UKAWA WANAOKUTANA DODOMA JEE PIA WATAKANA KUWA MBOWE HAKUPOKEA 1.5 BILLION TS, ZA ESCROW, MAANAKE JINA NLAKE NA ACCOUNT YAKE IMO PALE.

DUH HII ESCROW IMEWKUWA MTEGO WA PANYA
 
Back
Top Bottom