UKAWA kukutana punde kukanusha propaganda

UKAWA kukutana punde kukanusha propaganda

Mbowe BRING BACK OUR MONEY

Leo ndio unamuona mbowe kachukua fedha eh!! Kamwambie Mfalme wenu na ukoo wenu wote wa wizi. Mpaka sumu mnaiba. Wa kuambiwa arudishe fedha ni kuanzia familia ya Profesa panya na ninyi mlio washirika waki
 
Inanishangaza huyu alikuwa analipa 40,425,0000 kila mmoja? wote walikuwa na mahitaji sawa? On Rashid yeye ni 80,450,000 yaani mara mbili? Nimeustukia huu uzi.

Mkuu hiyo ni formula imetumiwa na mfreemason kugawanya hizo pesa.
 
Profesa Matezi dume kesharudisha?

Mkuu tezi dume (Prostate) kila wanaume anayo so watch out next might be you if not just a benign hyperplasia of the prostate can be a prostate cancer...
 
UKAWA jitahidin kuzijb kwa wakat hz propaganda za ma-escrow na wanufaika wao ccm ili tuzd kuilinda taswira yetu kama tumaini la watanzania
 
Kanusho la kipuuzi sana hili

Liziboni kwenye list ya mgao sijakuona vipi wamekusahau? Wamgejua unavyowatetea humu JF nahakika usingekosa japo elfu kumi ya bundle japo urudishe nusu hasara.
 
Back
Top Bottom