Wamekwisha kuanza!!!! Kuna wabunge wanajiona zaidi ya wabunge wenzao! Sasa wao wangoje tu wanadhani sasa hivi ni mambo ya kuchjeza rede! Sisi tunataka kazi baasi mambo ya mara wamesusia nini na huku posho hawasusii hatutaki kusikia!Inashangaza sana kuona wabunge wetu tunaowaamini wa ukawa Jana kugoma kuingia ktk kamati walizoteuliwa kwa kudai kuwa sizo walizozitaraji,cha kuchekesha zaidi Mh kubenea baada ya kuona amepangwa ktk huduma za jamii akakasirika na kusikika akisema haiwezekani apangwe huko,kubenea alitarajia atapangwa PAC kitu ambacho kimemkasirisha sana hiyo jana,cha kujiuliza tu kwanini ukawa wagome?walijipangia nini ktk nia zao?kwa sheria za bunge PAC lazima iongozwe na mpinzani,je wabunge wa ukawa walioteuliwa kwenye kamati hiyo ya PAC hawana akili na sio watendaji?kwanini kina kubenea na wenzao wasiwaamini wabunge wao?Sio bure ukawa walikuwa na nia ovu,hakuna hata mbunge mmoja aliejaza kamati alioitaka kisha akapangwa huko,safari hii ni tafauti kabisa,na ukawa takriban wote hakuna aliejaza kamati nyengine zaidi ya PAC na maliasili na utalii,nishati na madini.
Poleni sana kwa kukosa ulaji mlioutarajia pigeni kazi tumewachagua mkatuwakilishe,na mwaka huu mkigoma mara tatu tu unafutiwa ubunge.
Wamekwisha kuanza!!!! Kuna wabunge wanajiona zaidi ya wabunge wenzao! Sasa wao wangoje tu wanadhani sasa hivi ni mambo ya kuchjeza rede! Sisi tunataka kazi baasi mambo ya mara wamesusia nini na huku posho hawasusii hatutaki kusikia!
jambo zito sana lakini umeliandika kipashkuna mno ! unaishi ilala sharif shamba ?
Wamekwisha kuanza!!!! Kuna wabunge wanajiona zaidi ya wabunge wenzao! Sasa wao wangoje tu wanadhani sasa hivi ni mambo ya kuchjeza rede! Sisi tunataka kazi baasi mambo ya mara wamesusia nini na huku posho hawasusii hatutaki kusikia!
Watanzania sasa tupunguze UBINAFSI mimi nauona umeenea kwa kila mtu, watu hatuaminiani kabisaaaaa!Inashangaza sana kuona wabunge wetu tunaowaamini wa ukawa Jana kugoma kuingia ktk kamati walizoteuliwa kwa kudai kuwa sizo walizozitaraji,cha kuchekesha zaidi Mh kubenea baada ya kuona amepangwa ktk huduma za jamii akakasirika na kusikika akisema haiwezekani apangwe huko,kubenea alitarajia atapangwa PAC kitu ambacho kimemkasirisha sana hiyo jana,cha kujiuliza tu kwanini ukawa wagome?
Walijipangia nini ktk nia zao?kwa sheria za bunge PAC lazima iongozwe na mpinzani,je wabunge wa ukawa walioteuliwa kwenye kamati hiyo ya PAC hawana akili na sio watendaji?kwanini kina kubenea na wenzao wasiwaamini wabunge wao?
Sio bure ukawa walikuwa na nia ovu,hakuna hata mbunge mmoja aliejaza kamati alioitaka kisha akapangwa huko,safari hii ni tafauti kabisa,na ukawa takriban wote hakuna aliejaza kamati nyengine zaidi ya PAC na maliasili na utalii,nishati na madini.
Poleni sana kwa kukosa ulaji mlioutarajia pigeni kazi tumewachagua mkatuwakilishe,na mwaka huu mkigoma mara tatu tu unafutiwa ubunge.