wanadai wataenda kusema kwa obama.kama wanaona mahakama za Tanzania hazitawatendea haki, waende the hague kabisa waache kutuzingua na kiswahili chao cha NJI HII
nasikia yule mama mwenye macho mekundu wanamwita kijo bisimba atakuwemo kuandamana.
Mwenye kiswahili hicho si 'mtu' wa Lumumba anayefanya kazi zenu nje ya ofisi zenu.
kwa haraka haraka huu ni upuuzi wa CHADEMA na siyo ukawa kawa sababu:
1. KUNA CHADEMA wawili(SLAA na MBOWE) vyama vingine mmoja mmoja
2. kwa nini iwekwe afisa habari wa CHADEMA?
Ni mwendelezo wa ujinga tu unaofanywa na CHADEMA kwa kivuli cha UKAWA.
Mbona wameandika pale chini ya jina lake mkuu? Au umechangia bila kusoma taarifa yenyewe?
mkuu unajua pale naimani CCM imemtuma Tundu LIsu kusambaratisha kile chama ila mtu kama Mbowe hawezi kuliona jambo ilo mpaka uwe Clever.kwa haraka haraka huu ni upuuzi wa CHADEMA na siyo ukawa kawa sababu:
1. KUNA CHADEMA wawili(SLAA na MBOWE) vyama vingine mmoja mmoja
2. kwa nini iwekwe afisa habari wa CHADEMA?
Ni mwendelezo wa ujinga tu unaofanywa na CHADEMA kwa kivuli cha UKAWA.
Niko pamoja na
UKAWA!! CCM muache upumbavu, tutamwagana vi.nye.si mda si mrefu!! Kama
mlikuwa hamkubaliani na Tume, mliichagua ya nini!?
sasa nadhani mwisho wa UKAWA unakaribia
Kwa hiyo unamaanisha kuna CDM ya bodi ya wadhamini na CDM ya walioporomoka kisiasa?
Au wewe mtazamo wako uko tofauti na ule wa Yericko Nyerere?
Hiyo tume wakati inaundwa si mlisema hamuiamini?
Bado wananchi watawapuuza tu.
Msimamo wa UKAWA ndo msimamo wa kundi kubwa la watanzania wanao taka serikali 3. Tunawaunga mkono na Mungu awape maisha marefu huo ndo ukomavu posho baadae .
Siyo Lumumba ndio inateketea?