spiritual hero
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 354
- 64
Hawa jamaa kwa mujibu wa kanuni zao, maridhiano ni bungeni na si nje ya hapo. Muundo upi utatumika, wananchi wataamua kwa kura ya maoni.
Sasa kama wanadhani kuandamana ndio suluhu; nalishauri jeshi la polisi kushirikiana na jeshi la wananchi kuwashughulikia vilivyo viongozi wenye uchu na madaraka kwa njia yoyote. Kama vipi, tubaki na katiba yetu ya sasa. Mnataka mateja waingie barabarani kutuibia kwa nguvu. BWANA wa majeshi azime hila yenu. Natamani kuwatkna lakini imani yangu hainiruhusu.
Bado wananchi watawapuuza tu.
sasa nadhani mwisho wa UKAWA unakaribia
Niulize tu, kwenye huo uzushi, SLAA ameingia kama nani?
mhuuu da jamaa naona wana tapatapa wanatafuta kwa kufiaaa haya kwahelini ukawa
watanzania hawajawahi kutupuuza...
na mama yako ataandamana?niko tayari kwa maandamano...
bunge litaendelea kama kawa.
Siku zinachanja mbuga hazigandi.
kesho wanakongamano tena Itv,kisha keshokutwa wataandika strong worded letter kwa Rais wakimwambia asitishe bunge haraka ama sivyo wanaingia msituni.mhuuu da jamaa naona wana tapatapa wanatafuta kwa kufiaaa haya kwahelini ukawa
na mama yako ataandamana?