Unajua kuisoma picha? Ngoja nikusomee hiyo picha yako. Huyo wa chadema anaongea kwa hasira na kwa sauti akiwa ametulia mkono mfukoni kablasha kwapani. Huu utulivu japo kunamkono mbele unamaanisha muongeaji karidhika nao na amependa iwe hivyo. Na ndivyo ilivyo chadema wao walisema hawatakaa bungeni wakati NS akiwa kwenye kiti. Huko kutokusikika kwao ni kwasababu hawaongelei kwenye kisemeo. Waliokubali kiti wamepewa kisemeo na wamesikika.
Kweli kabisa. Kwani mwazo ilikuwa hivi?Wewe tusha kuzoea kwa kuvuma kama upepo maana huna msimamo
Unajua Lizaboni kuna kitu hawa watu siwaelewi, wanadai Rais ni dikteta, sasa angalia wenyewe hawakufanya kikao na sisi wananchi tuliowachagua ili tuwaruhusu wakisusie vikao vinavyojadili masuala yetu bungeni. Huo sio udikteta? Sasa Dodoma wanafanya nini, si warudi majimboni mwao? Haya eti hawataki kusalimiana na wenzao ccm! Ccm si wengi wana upweke wa salamu kweli? Hivi hawajui kwamba mishahara yao wanalipwa na serikali ya ccm? Na je Naibu spika akiendelea kuwepo na ataendelea kuendesha vikao watasusa milele? Na sisi tukiwasusa je? Wanaendeshwa na mtu mmoja wanakubali? Hivi wana akili timamu kweli? Au ndo ule msemo "ngoma ikivuma sana mwishowe upasuka"Safi sana Kitila
a
Hivi Chadema kama wanashindwa kuwa na headquarters ya kisasa bado wameng'ang'ana kwenye kile kibanda cha pale Ufipa ndio wataweza kuorganise big things?
Chadema hii inayotegemea nguvu na akili binafsi za Mbowe ni ngumu kuenenda kama unavyofikiri wewe, muombeeni Mbowe afya njema ndio mtu mwenye vision pana ninayemuona mimi kwenye hicho chama.
Katika UKAWA hakuna wa kuchukua ushauri wa mtu aliyeshindwa , mamluki na Msaliti kama kitila .
Really seriously?Unajua Lizaboni kuna kitu hawa watu siwaelewi, wanadai Rais ni dikteta, sasa angalia wenyewe hawakufanya kikao na sisi wananchi tuliowachagua ili tuwaruhusu wakisusie vikao vinavyojadili masuala yetu bungeni. Huo sio udikteta? Sasa Dodoma wanafanya nini, si warudi majimboni mwao? Haya eti hawataki kusalimiana na wenzao ccm! Ccm si wengi wana upweke wa salamu kweli? Hivi hawajui kwamba mishahara yao wanalipwa na serikali ya ccm? Na je Naibu spika akiendelea kuwepo na ataendelea kuendesha vikao watasusa milele? Na sisi tukiwasusa je? Wanaendeshwa na mtu mmoja wanakubali? Hivi wana akili timamu kweli? Au ndo ule msemo "ngoma ikivuma sana mwishowe upasuka"
Mkuu mbona tupo active sanaMwanahabari huru umesikia ?
Huna lolote mkuu .Msaliti mkuu ndani ya Chadema Na siasa za Upinzani Tanzania kwa ujumla ni Mbowe.
Utakataa leo ila ipo siku utakubali tu japo utakua umechelewa.
Mbona hatuoni habari zenu CNN , BBC au hata CFI ?Mkuu mbona tupo active sana
Mbona hatuoni habari zenu CNN , BBC au hata CFI ?
Kigezo chako ni duni. Au unataka watumie staili ya CCM ili kuonekan a wajanja machoni pako. PoleHivi Chadema kama wanashindwa kuwa na headquarters ya kisasa bado wameng'ang'ana kwenye kile kibanda cha pale Ufipa ndio wataweza kuorganise big things?
Chadema hii inayotegemea nguvu na akili binafsi za Mbowe ni ngumu kuenenda kama unavyofikiri wewe, muombeeni Mbowe afya njema ndio mtu mwenye vision pana ninayemuona mimi kwenye hicho chama.
Wewe na nani Lumumba wenzioTulisema CDM changisha muwe na tv ya kwenu
Wewe na nani Lumumba wenzio
Kama ni kweli basi unacheza ngoma ya maadui zako. Kamanda imara hapayuki kama weweRafiki mimi ni CDM
Kama ni kweli basi unacheza ngoma ya maadui zako. Kamanda imara hapayuki kama wewe
Kama ni kweli basi unacheza ngoma ya maadui zako. Kamanda imara hapayuki kama wewe
Mtazamo wako tu unaonyesha udhaifu mkubwa. Swala ni kiti na sio mwanamke au mwanammeUnaitaja UKAWA ipi ya Tz ambayo imeziba midomo yake? Wataongeaje na media wakati arobaini ya kutolewa nyizi midomo yao haijafika? Au unaongea na UKAWA Wanaojiona wanyonge na kuona wanadharirishwa na naibu spika mwanamke? Ni wale wasiotofautisha usiku na mchana? Ongea nao labda wewe watakusikiliza mjomba!
Ulitaka wamtegemee nani? Mwkti wa CCM?Hivi Chadema kama wanashindwa kuwa na headquarters ya kisasa bado wameng'ang'ana kwenye kile kibanda cha pale Ufipa ndio wataweza kuorganise big things?
Chadema hii inayotegemea nguvu na akili binafsi za Mbowe ni ngumu kuenenda kama unavyofikiri wewe, muombeeni Mbowe afya njema ndio mtu mwenye vision pana ninayemuona mimi kwenye hicho chama.