Mbinu pekee waliyobaki nayo ccm ni mapingamizi .Hii imetokana na wagombea mbali mbali wa ccm kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi wa madiwani na serikali za mitaa. Wagombea hao wamejitoa kwa kukosa support ya wananchi kwenye kampeni, katika mikutano yao walikuwa wanajikuta aidha wako wenyewe au wananchi wasio zidi watano(5) ndiyo wanaowasikiliza.
Hongera wananchi wa Iringa kwa kujitambua.
Wilaya Ya Iringa vijijini
Vijiji CCM wamepta bila kupingwa 45 kati ya 134
Vitongoji CCM imepita bila kupingwa 465 kati ya 743
Wajumbe CCM imepita bila kupingwa 2299 kati ya 3225 (sahihisho)
\Mkuu HUWEZI AMINI NIKO HAPA MJINI NAONA MAGARI YA UKAWA TU YANAPITA YAKIPEPERUSHA BENDERA ZAO.
\
Halafu hapo Iringa mjini, ndiyo hao magamba aka Eskrow, wanadai kwamba kwa kuwa watamsimamisha Mwakalebela, aliyefanyiwa 'mtimanyongo' na NEC ya chama chao mwaka 2010, kwa hiyo wana uhakika wa kurirejesha jimbo hilo toka mikononi kwa Mchungaji Msigwa.
Lakini kwa mazingira ninayoyaona hapo Iringa mjini na mwamko wa wana chadema/ukawa ulivyo, CCM kushinda hapo ni NEXT TO IMPOSSIBLE MISSION!
tofautisha kati ya kupita bila kupingwa na uchaguzi kutofanyika kisha uje tena
vipi kunampango wa kuahirisha uchaguzi au nimeelewa vibaya? fafanua hapo.[/QUOTE MWAKAJEMBE ww bado ni mchanga kabisa katika Siasa na huenda ni mara yako ya kwanza kupiga kura
nakushauri usubiri matokea hapo Iringa kwaenye Chaguzi hizo za Serikali za Mitaa uone jinsi CCM itakavyogaragaza kura hizo
KUPITA BILA KUPINGWA =
- ni kwamba Eneo hilo hakuna Mpinzani zaidi ya mgombea wa Chama husika
- Ikiwa na maana wagombea wengine hawakutimiza Masharti ya uchaguzi hivyo hawaruhusiwi kugombea
- Mitaa, Vijiji na Vitongoji ambavyo havuna mapingamizi vitapiga kura Jumapili 14/12/2014 na dalili hapo inajionesha hata Iringa Mjini bado ni pagumu CCM KUSHINDWA
Wewe ni msukule wa lumumba stakushangaa.
Mkuu HUWEZI AMINI NIKO HAPA MJINI NAONA MAGARI YA UKAWA TU YANAPITA YAKIPEPERUSHA BENDERA ZAO.
vipi kunampango wa kuahirisha uchaguzi au nimeelewa vibaya? fafanua hapo.[/QUOTE MWAKAJEMBE ww bado ni mchanga kabisa katika Siasa na huenda ni mara yako ya kwanza kupiga kura
nakushauri usubiri matokea hapo Iringa kwaenye Chaguzi hizo za Serikali za Mitaa uone jinsi CCM itakavyogaragaza kura hizo
KUPITA BILA KUPINGWA =
- ni kwamba Eneo hilo hakuna Mpinzani zaidi ya mgombea wa Chama husika
- Ikiwa na maana wagombea wengine hawakutimiza Masharti ya uchaguzi hivyo hawaruhusiwi kugombea
- Mitaa, Vijiji na Vitongoji ambavyo havuna mapingamizi vitapiga kura Jumapili 14/12/2014 na dalili hapo inajionesha hata Iringa Mjini bado ni pagumu CCM KUSHINDWA
Pamoja na uchanga wangu ktk siasa lakini ni mtu mzima si mtoto naona nakutambua sambamba nakusoma alama za nyakati kwa taarifa yako hiyo kwanza safar hii vijana wengi ndio waliojiandikisha ukilinganisha na miaka iliyopita na vijana hakuna anayependa ccm iwepo madarakani. Nilkuwa naongea hata na akina mama wafanyabiashara ndogo ndogo walisema wanawachagua viongozi wa UKAWA japo walisema nanukuu;tukiwachagua viongozi hawa katika kuleta maendeleo viongozi wa juu wa ccm huwazibia mianya.
Naongezea atakuwa kigagu wa mchana .
Huyu atakuwa taahira
hawako sahihi. Mwakalebela kukubalika kwake kwenye hatua za uteuzi ndani ya chama si kukubalika kwake kwa wapiga kura. Mchungaji msigwa angemshinda Mwakalebela.\
Halafu hapo Iringa mjini, ndiyo hao magamba aka Eskrow, wanadai kwamba kwa kuwa watamsimamisha Mwakalebela, aliyefanyiwa 'mtimanyongo na NEC ya chama chao mwaka 2010, kwa hiyo wana uhakika wa kurirejesha jimbo hilo toka mikononi kwa Mchungaji Msigwa.
Lakini kwa mazingira ninayoyaona hapo Iringa mjini na mwamko wa wana chadema/ukawa ulivyo, CCM kushinda hapo ni NEXT TO IMPOSSIBLE MISSION!
.... Kama Kweli Big Up.! Kama Ni Uwongo Mi Simo.!
Magamba yamechanganyikiwa kwani kila sehemu wananchi wanayasusia.Wewe ni msukule wa lumumba stakushangaa.