MWAKAJEMBE
Senior Member
- Oct 27, 2014
- 133
- 55
Hii imetokana na wagombea mbali mbali wa ccm kujitoa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi wa madiwani na serikali za mitaa. Wagombea hao wamejitoa kwa kukosa support ya wananchi kwenye kampeni, katika mikutano yao walikuwa wanajikuta aidha wako wenyewe au wananchi wasio zidi watano(5) ndiyo wanaowasikiliza.
Hongera wananchi wa Iringa kwa kujitambua.
Hongera wananchi wa Iringa kwa kujitambua.