Katibu Mkuu wa ACT Samson Mwigamba amekiri ujio wa Muungano wa UKAWA umevuruga malengo ya chama chake.
Mwigamba amesema lengo kubwa la chama chake ni kuwaunganisha wananchi na kuwaeleza ubovu wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema.
Mwigamba amesema hata hivyo kwa sasa Chadema iko katika ushirika na vyama vya CUF na NCCR chini ya mwamvuli wa UKAWA.Ameendelea kudai kwamba imekuwa vigumu kueleza uovu wa Chadema wananchi wakaulewa kwa sababu imetokea wananchi wanaiamini UKAWA na hawataki useme chochote kuhusu mshirika wa umoja huo.
Mwigamba hata hivyo amesema anaamini UKAWA utasambaratika kabla ya 2015.Na baada ya hapo ndipo wananchi wataelewa kuhusu vita ya ACT na Chadema.
Source:Sauti Huru.

Haya pambana! Ila mwisho wa ubaya.....
Na ww mwenyekiti wa cdm tawi lipi kwa sbb naona kila siku kwenye jf hutulii na hutaki kupoteza mda wa kuwandika udaku hadi usiku wa ma 8
mimi naitetea haki kokote ninakoiona.Wewe je!
mnafki tu wewe,act wanapambana na cdm tu,hiyo unaona ni sawa?vyama vya upinzani lengo lao ni kukitoa chama tawala madarakani,sasa hawa wasaliti wanataka kupambana na cdm kwa faida ya ccm!and you think it's fine!tunajua mwigamba na kundi lake la wasaliti wanafadhiliwa na ccm from day one but that ain't gonna work.By the way,the last i checked you were a strong supporter of ccm and all of a sudden you join cdm/opposition just like mrema and cheyo did!!!mimi naitetea haki kokote ninakoiona.Wewe je!
Mwigamba anatuaibisha sana wahasibu na ma auditors. Natamani NBAA wamnyang'anye CPA yake. Hii ni aibu
Void ab initio!!
What? Mwigamba ana CPA?
Tiba
anayo mkuu, inashangaza kuchomoa module E na F halafu unaongozwa na kazito tu