UKAWA imeivuruga ACT - Mwigamba

Mungu hamfichi mnafiki, alikuwa anakataa kuwa sio msaliti ndani ya cdm; haya sasa yeye mwenyewe anatangaza madhumuni makuu ya chama chao ACT. Yatamshinda!..
 
Tehe! haya bwana.
Beth. Kumbe wewe ni ACT Live! daa ckujua hili. Hivi kaka daah acha tu nsiseme maana amazing! yaani siamini kabisa kuwa umo kundi hili la watu wanaotucheleweshea ukombozi
 
Beth. Kumbe wewe ni ACT Live! daa ckujua hili. Hivi kaka daah acha tu nsiseme maana amazing! yaani siamini kabisa kuwa umo kundi hili la watu wanaotucheleweshea ukombozi
Kwani ulikuwa hujui kuwa Mnafiki Ana sura tatu? Huyu ana sifa zote hizo ..
 
Kumbe lengo lilikua kupambana na Chadema na sio kuitoa CCM madarakani?
 
Cdm kwa kutunga nyimbo zisizo hiti wanaongoza hayo maneno kayaongea saa nanae usiku nyambafu
 
mwenyekiti wa act tawi la jf naona hutoki kwenye huu uzi

Na ww mwenyekiti wa cdm tawi lipi kwa sbb naona kila siku kwenye jf hutulii na hutaki kupoteza mda wa kuwandika udaku hadi usiku wa ma 8
 
Poor Mwigamba &Co. a political naive leader of a political party!
 
[h=3]Desperate Woman.[/h]
 
Cdm kwa kutunga nyimbo zisizo hiti wanaongoza hayo maneno kayaongea saa nanae usiku nyambafu
Kasomeni hiyo source , kama alijishughulisha kujianika amewaumbua , hilo ni gazeti la CCM .......
 
Mungu wabariki wote wenye nia njema na nchi yetu; na uwafedheheshe na kuwashusha wote wenye nia mbaya kama hawa ACT!
 
bora angesema wamekuja kuiunga mkono ccm kisera tungemuelewa lakini anaposema wamekuja kuua chadema yeye hataki tuwe na vyama?
 
Mungu wabariki wote wenye nia njema na nchi yetu; na uwafedheheshe na kuwashusha wote wenye nia mbaya kama hawa ACT!

Sema mungu ibariki Act
Mungu amlaani mzazi wako iliekula pesa ya ccm
Mungu mlaani yeyote anaepinga act
Vuwa gamba vuwa gwanda vaa uzalendo
 
Hivi sera za ACT zina tofauti gani na za vyama vingine? Huu utitiri wa vyama hautatutoa katika umaskini tulio nao. Mpaka nafikiria sasa ni heri kumchagua mtu ambaye tunaona atawapigania wananchi watoke hapa tulipo kwa kasi fulani i.e. Afya, Elimu, Maji, Umeme, Madini na Barabara vipewe kimbau mbele.
Katiba mpya inakuja na mgombea binafsi kwa hiyo kama kwenye vyama hakuna atakayetufaa tumchague mgombea binafsi!
 
Kuanzisha kwa ACT ni kwa ajili ya CHADEMA? Nilidhani kuwaondoa watanzania kwenye lindi la umaskini na kuwaletea maendeleo kama watapata kushika dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…