Msajiri wa chama hivi vya siasa heri alighted hicho ACT. The ACT party acts childish! Tunahitaji mkombozi wao wanaibuka na hoja ya kuunda chama kusema uovu wa furani tu. I shall need to read their constitution and see what acts in there!
Namshauri aache siasa kwa sababu mradi wake umebuma.kwakuwa kwenye chama kama act, ccm haitampa tena fungu hivyo akatafute ajira hata kwenye magazeti ya udaku.
Badala ya kuongelea sera za kusonga mbele unakuja na kuichafua chadema ww ulikuwa unaipenda chadema na Kule ulitimuliwa hukujiondoa leo hii unataka kuongelea nn take your way mburura