UKAWA; Iko wapi timu yenu ya Kampeni

UKAWA; Iko wapi timu yenu ya Kampeni

Mwanachama Sahihi

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
572
Reaction score
217
Mmezindua kampeni tayari, Dar es Salaam imewasikia na Iringa mmeonekana. Kilichodhihirika Iringa ni kwamba Lowassa anapata support kutoka kwa watu walewale aliotoka nao kwenye chama chake cha zamani. Tuelewe kwamba hamkuandaa timu kabambe katika zoezi hili? Au bado mnajipanga? Ufafanuzi tafadhali.
 
Hahahaha..nan alijua km tambwe hiza atapanda jukwaan jana!!!

Mbnu za ushind zinatofautiana we..nyie kaen na kna makongoro na kina lusinde sis tutawapiga nje ndan
 
Watoke wapi mbowe na mtei washakula chao mapema yan ccm B upinzani bado sana hivi lowasa angeteuliwa na ccm mapovu yangewatoka kwa kusema fisadi yan siasa zetu ni uchwar
 
Ukawa yenyewe nzima ni Timu tosha ya Kampeni,unataka timu gani nyingine
 
Back
Top Bottom