UKAWA, hili ni bao la mkono mchana kweupe

UKAWA, hili ni bao la mkono mchana kweupe

Hana jipya huyu na ni wepesi kama karatasi na walaini kama maini CCM hata ashushwe malaika leo kesho kabadilika kuwa mkuu wa mashetani.
Mwendo kasi usio na tija wala dira na nguvu za booster hazidumu ngoja tutaamsha hata kwa namna yeyote ile ngoja kwanza september moko tupige hiyo UKUTA.
 
Hivi ni kweli unaweza kukilinganisha CCM na SACCOS za Wachagga?

Kama kweli huwezi kuvilinganisha heu tafakari kidogo. Dar, Arusha, Kilimanjaro, Mbeya, Iringa, Tarime, Tanga na halmashauri nyingine nyingi ccm iliangulia pua. Tena kama isingekuwa ni kuiba kilio kingekuwa kikubwa zaidi.
 
Vyama vya Upinzani ( VVU) zilikodishwa kwa mafisadi kwa miaka kwa gharama ya 13bilioni tshs. Sasa mnalalamika nini?
Hii sio sababu ya Rais kukiuka sheria na kukandamiza upinzani wakati yeye akijinadi badala ya kukagua na kuzindua miradi ya Maendeleo. Jifunze kujibu hoja kwa hoja, na si kujibu hoja kwa kukashifu. Here you made a fallacy . Watanzania tubadilike jamani!!
 
Wazaz wanajifungulia chini.cliniki hamna chanjo wala dawa zakuwap wajawazito hilo amelisahau.Anatakiwa atengenez mazingira ya hospital ndo aropoke.Ivi nesi mmoja anaudumia wajawazito mia na zaidi kunaher hapo.Pili utakuwa punguwani kiasi gani ukitegeshe tuu uzae kila mwaka anakuletea chakula nyumban au atakupa shamba lakulima?
 
Hivi ni kweli unaweza kukilinganisha CCM na SACCOS za Wachagga?


Unapewa hela utetee ccm kwa hoja wewe ni kurusha vijembe tuu Kama msusi. Njaa itakuua lizabon. Wenzako wako ccm kwa biashara kupata u dc na u rc wewe nikuambulia buku saba ya bundle.
 
Hivi ni kweli unaweza kukilinganisha CCM na SACCOS za Wachagga?
Like father like son,mule mule,njia ile ile ya baba yao, Umefanana Sana na baba yenu haswa kwenye ukurupukaji!,angalia ulichoandika!!!
 
Kama anafikiri tutamuunga mkono kwa kufanya mikutano yeye mwenyewe, hataamini 2020.
 
Kama mnafuatilia vizuri ni kwamba mkuu wetu mtukufu anafanya ziara zake mikoani kila siku,lakini awapo jukwaani hulitumia vizuri kwa dakika kadhaa kukinadi chama chake na hata kubishambulia na kuviponda vyama vya upinzani nchini. Hufikia hata kuwaita baadhi ya waliokua makada wa CCM na kuwaomba warudi kukijenga chama tena hadharani.Lakini kinyume kabisa na katiba kwa wale ambao hawakuchaguliwa hawaruhusiwi kufanya siasa hadi hapo 2020 wakati wa kutangaza wagombea wao.Sitaki kuuliza ni vipi wananchi watavifahamu hivyo vyama wakati wa kampeni tu maana sio swali tena ni mjadala uliopo wakati huu.


Sasa hapa kwa mtu mwenye uelewa wa kawaida usiohitaji PhD atajua kua kuna siasa ya chini kwa chini kuhakikisha kua upinzani unafutika nchini ili chama utawala kiendelee kusalia madarakani pamoja na ukongwe wake. Mimi hua nafikiri kua sera nzuri na utendaji wa mtu ndio kivutio kikubwa kwa wananchi kukupenda chama chake na sio kuwashawishi kwa kuwaponda wapinzani.


Huu ni mtihani mkubwa na mgumu sana kwa UKAWA na vyama vingine vya upinzani katika ustawi wake nchini, Vinalazimishwa kua "Dormant" kwa lazima na ikizingatiwa msajili wa vyama anavitaka kisheria vyama vyote kupitia kwa wananchi kutafuta uungwaji mkono kwa kueneza itikadi na kunadi Sera zao.Hapa ndipo mtu unafikia mahali kutafuta nini lengo kuu hasa la chama cha siasa mahali popote.


Naufananisha utalatibu huu na bao la mkono ambapo mfungaji ameshaona hakuna namna ya kutumia mguu(Katiba) kuufunga mpira huo bali analazimisha kwa mikono ili mradi refa atangaze goli tu mwisho wa mchezo.
Magufuli ni Mnafiki, mwovu na mwongo, akipingwa kwa kuchafua demokrasia na amani anadai wanaompinga ni mafisadi. Mbowe ni fisadi? Lisu ni Fisadi, Zitto ni Fisadi? Unafiki wa magufuli unanuka sasa hauvumiliki.
 
duuh, haya sasa, sitaki ukabila, na sitaki kuamin yale 'maneno' aliyosingiziwa ya baba wa taifa, eti "makabila makubwa siyo ya kuwapa nchi"

nadhani siyo kabila bali ni aina ya mtu,
lawama nyingi ziwaendee viongoz wa dini ambao nadhan wana nafas kubwa ya kumfunga paka kengele.

wametulia tuli... tofauti na miaka iliyopita.
sijui nao wametishwa.
hatuoni zile nyaraka na matamko..
Hao viongozi ndio wakwepa kodi.wafungue mdomo usikie kilio
 
Hii sio sababu ya Rais kukiuka sheria na kukandamiza upinzani wakati yeye akijinadi badala ya kukagua na kuzindua miradi ya Maendeleo. Jifunze kujibu hoja kwa hoja, na si kujibu hoja kwa kukashifu. Here you made a fallacy . Watanzania tubadilike jamani!!
Huo ndio mfano wa watu wanaolichafua taifa hovyo tu.Mtu anashindwa kujibu hoja anatuletea mihemko.
 
Back
Top Bottom