funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 38,534
- 31,198
- Thread starter
- #41
Umejiandaa kulamba miguu kwa miaka mingapi ijayo?Watanzania sijui lini tutaa wake up, tusidanganywe na viongozi wa kisiasa, hivi hio kodi 1 Trilioni kwa mwezi kwa mwaka about 12 trillion tufanye 15 Trilioni, nchi kama Tanzania yenye 45 milioni hivi hizi fedha zitatosheleza katika kuwaletea maendeleo kwa haraka? Tanzania nzima hospital tunayo itegemea Muhimbili, haya elimu ndo tumeambiwa bure, kuna shule huko kwa maelf watoto wanakaa chini, maendeleo gani hayo kwa kasi yatapatikana?
Halafu kuna deni la taifa sijui limeongezeka kiasi gani, hivi hizo fedha zitatosheleza?
Zanzibar population 1.5 milioni kwa mwaka kodi 1trilion, hivi watanzania hatuoni aibu tanganyika 12 Trilioni kwa population 45 milioni? Hivi tupange vipi budget? Ili ukombolewe kwenye umasikini?
Ndio maana nikawaona UKAWA ni hovyo.
Hebu ufikirie huo msaada kwa jicho la familia yako halafu uniambie umekusaidia nini.