Ukawa hawajakomaa wanategemea wazungu!!

Ukawa hawajakomaa wanategemea wazungu!!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Nimeingia JF kwa slogan ya KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA baada ya kufadhaishwa na nchi kuendeshwa kwa misaada ya kipuuzi puuzi ambayo tungeweza kujikimu wenyewe.

Nimetumia slogan hiyo ili kubadilisha attitude ya watanzania katika kujiletea maendeleo yao na kuwa huru.

Mimi sio muumini wa dawa bure ambazo ni kwa hisani ya watu wa nje.

Nachukia tangazo la wizara ya afya kwa hisani ya watu wa marekani!!

Mimi ni muumini wa kununua huduma kwani tunaweza.

Niwape logic ndogo tu...

Tunasema mama mjamzito apewe huduma bure kumbe tunategemea huduma hiyo ilipiwe na mmarekani anayelipa kodi...shame!!

Wakati mama huyo huyo anayepewa huduma bure ananunuliwa madera na kanga za kutosha akiwa mjamzito....na pia anachinjiwa ngo'mbe anapojifungua.

kanga ni sh 5000 kwa doti...

Dera ni sh elfu thelathini.

Ngi'ombe sio chini ya laki nne!

Inakuwaje familia ya mama huyu ishindwe kulipia japo elfu kumi tu kwa huduma ya kujifungua???

Nikirudi kwa hawa vilaza wa UKAWA ....

Nilidhani wanaweza kuwa na sera mbadala dhidi ya ccm kumbe wao ndio hatarishi kabisa ...they totaly bow down to the wazungu!!

Eti kiongozi wa UKAWA anataka serikali iweke mambo sawa ili tuendelee kuwa ombaomba...!

Tena anakuwa wa kwanza kushadadia ukosefu wa misaada na anapendekeza tukidhi matakwa ya wazungu ili tuendelee kupata misaada.

PUMBAVU KABISA!!

Kiongozi huyo huyo anashindwa kucomment lolote kwenye mazuri ya JPM kuwezesha ukusanyaji wa kodi in one month!!

Kama UKAWA mnataka nchi ili muendeleze tabia ya kuombaomba basi msahau as far as great dudes like me will be alive!!

Shame upon you!!

Ukijibu njoo kamili kamili !!

Mimi ni mtoto wa KARIAKOO SIO MBEZI BEACH!!
 
Matusi ya nn sasa, hayo ni mawazo yake na uwezo wa akili yake imeishia hapo
 
Ukimkimbiza mwendawazimu na wewe utaonekana ni walewale..huyu mtoa mada namuacha kama alivyo.
 
Kila siku Ukawa wanalialia kwa wazungu!
Ni aibu!
 
Zero warhead kabisa mleta mada pengine hajui hizo hela zilitarajiwa kulinufaisha taifa kwa kiwango gani
Trilioni moja ambazo tumekusanya mwezi huu...how long utaendelea kunufaika na misaada?Fikiri mkuu!
 
Jingalao

Kwa nini unasahau mapema kiasi hicho..?

yaani ata kuku anakuzidi uwezo wa kumbukumbu..

Jitafakari upya ndugu...labda kuna mahali umelaaniwa
 
Zero warhead kabisa mleta mada pengine hajui hizo hela zilitarajiwa kulinufaisha taifa kwa kiwango gani

Emancipate yourself from mental slavery ndugu. Msaada hauwezi ukawa na manufaa ya kujitosheleza. Tukiamua kwa dhati kama watanzania wazalendo tunaweza kabisa kuchangishana na kuipata hiyo TZS 1 trillion, period
 
Ukawa bure kabisa hawana jipya kwa serikali hii ya Dr JPM.kilichobaki nikutapatapa.
 
mbowe kakasirika kweli maana tabia aliyoionesha magu itasababisha na wao wanyimwe mpunga. nani anataka kufanya kazi za bure hapa.
 
Jingalao

Kwa nini unasahau mapema kiasi hicho..?

yaani ata kuku anakuzidi uwezo wa kumbukumbu..

Jitafakari upya ndugu...labda kuna mahali umelaaniwa

Kama atakuwa kakuelewa unamaanisha nini basi najipa adhabu ya kutokufungua JF siku ya kesho. Unadhani anaitwa jingalao kwa bahati mbaya?
 
Last edited by a moderator:
Trilioni moja ambazo tumekusanya mwezi huu...how long utaendelea kunufaika na misaada?Fikiri mkuu!

Unajua bajet ya serikali kwa mwaka ni kiasi gani?Zidisha hiyo trillion Moja Mara 12 Halafu compare!
Upuuz umekujaa kichwan
 
Back
Top Bottom