Tulikua katika mchakato mzuri wakuchuadola kwa safu yetu nzuri.Lakini walipokuja hawa wageni wametuvuruga tumeona Chama kumbe ni chakaskazini.wakubwa wote wanatoka huko Mtei,Ndesamburo,Lowasa,Mbowe Slaa,mdee Komu naomba viongozi walione hilo vinginevyo kweli itatugharimu
Napenda mabadiriko, lakini hilo ulilosema ni kweli. Watu twajifanya hatulioni. Tutakuwa kama Kenya...Tulikua katika mchakato mzuri wakuchuadola kwa safu yetu nzuri.Lakini walipokuja hawa wageni wametuvuruga tumeona Chama kumbe ni chakaskazini.wakubwa wote wanatoka huko Mtei,Ndesamburo,Lowasa,Mbowe Slaa,mdee Komu naomba viongozi walione hilo vinginevyo kweli itatugharimu
Hao ni manaibu il a lisu
sisimizi tumkuu mbona kuna wakubwa wengine kama lissu baregu,safari,mwalimu,kabambi,marando lwakatare hawatoki huko.
Tulikua katika mchakato mzuri wakuchuadola kwa safu yetu nzuri.Lakini walipokuja hawa wageni wametuvuruga tumeona Chama kumbe ni chakaskazini.wakubwa wote wanatoka huko Mtei,Ndesamburo,Lowasa,Mbowe Slaa,mdee Komu naomba viongozi walione hilo vinginevyo kweli itatugharimu
Napenda mabadiriko, lakini hilo ulilosema ni kweli. Watu twajifanya hatulioni. Tutakuwa kama Kenya...
mkuu mbona kuna wakubwa wengine kama lissu baregu,safari,mwalimu,kabambi,marando lwakatare hawatoki huko.
Hili suala la viongozi wa chadema wengi kuwa wakristo kwa kweli me linanipa shaka sana