UKAWA: Hatujaalikwa sherehe za Muungano!

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,829
WanaJF,

Kiongozi wa kikundi kilichoundwa ndani ya bunge maalumu la katiba (UKAWA), mhe Mbowe, ameonyesha masikitiko yake kutokana na serikali kuwanyima mwaliko wa kuhudhuria sherehe za muungano.

Mhe. Mbowe akiwa katika hali ya majonzi amesema kwamba sherehe hizo ambazo zimetokea kuwa kivutio kikubwa kwa wananchi zilipaswa kuhudhuriwa na UKAWA kwa kuwa na wao ni sehemu ya wadau wa muungano wetu.

Aidha, mhe.Mbowe amekiri kuwa yeye pamoja na wenzake wanaounda kikundi hicho cha UKAWA walitamani sana kujumuika na viongozi wa kitaifa katika sherehe hizo kwa kuwa zimefanywa kiustadi mkubwa na hakika zinaweza kuwabadili msimamo juu ya muungano wetu.
 
Hv ww unajitokeza kwenye ishu ya mbowe na slaa ina mana kwenye post nyngne unakuwa wapi?au unatumia id nyngne?anyway ww na mbowe mlikuwa wapi mpaka akuambie hvyo?
 
Jamani, jaribuni hata ku-upgrade propaganda zenu. Au nalo mmeshindwa?
 
WanaJF,

Kiongozi wa kikundi kilichoundwa ndani ya bunge maalumu la katiba (UKAWA), mhe Mbowe, ameonyesha masikitiko yake kutokana na serikali kuwanyima mwaliko wa kuhudhuria sherehe za muungano.

Mhe. Mbowe akiwa katika hali ya majonzi amesema kwamba sherehe hizo ambazo zimetokea kuwa kivutio kikubwa kwa wananchi zilipaswa kuhudhuriwa na UKAWA kwa kuwa na wao ni sehemu ya wadau wa muungano wetu.

Aidha, mhe.Mbowe amekiri kuwa yeye pamoja na wenzake wanaounda kikundi hicho cha UKAWA walitamani sana kujumuika na viongozi wa kitaifa katika sherehe hizo kwa kuwa zimefanywa kiustadi mkubwa na hakika zinaweza kuwabadili msimamo juu ya muungano wetu.
Maandalizi ya sherehe hizo yamegharimu shilingi ngapi?unajua kuwa pale ocean road cancer hospital hakuna hata paracetamol licha ya daya ya chemotherapy na mashine ya radiotherapy mbovu zinatakiwa tsh 2m.Wameambiwa na wizara wasubiri bajeti ijayo
 
Wamewakilishwa na maalim seif haina shida si waliondoka dodoma walimfuata zanzibar. Udumu muungano.
 
Tusifanye vitu kwa kukomoana...nadhani wangealikwa kama miaka ya nyuma.....
 
Maandalizi ya sherehe hizo yamegharimu shilingi ngapi?unajua kuwa pale ocean road cancer hospital hakuna hata paracetamol licha ya daya ya chemotherapy na mashine ya radiotherapy mbovu zinatakiwa tsh 2m.Wameambiwa na wizara wasubiri bajeti ijayo

Mkuu unachosema ndio hasa ilipaswa hii SERIKALI ya Baba Ridhiwan mbunge special wa CCM huko chalinze na wakina makonda wakitafakari kabla ya hayo maonyesho, lakini kwa sababu walioko Ocean Road hawawahusu wakaamua kufanya waliyofanya.........udumu Muungano wa Mashaka.
 
We jamaa kwanini unakuja na habari ya kuhusu muungano wa wananchi (UKAWA) bila source?

Au umekuwa msemaji wa Ukawa wewe? Kwanini unatamani vyeo vya wanaume bila kuvua Migamba yako huko!

Nenda taifa kaungane na misukule kuadhimisha kitu msicho kijua, Au hapa jamvini kuna uzi unaohusiana na sherehe hizo kaungane na visebengo wenzako kushangilia

ONYO, usirukie rukie vitu visivyo kuhusu hovyo kama uko kwenye kibalaza cha hapo lumumba alah! Lazima uwe ma adabu.

BACK TANGANYIKA
 
Waalikwe kwani wao ni nani? ... si wananchi tu wa kawaida kama sisi.
Wangeenda kama wangetaka.
 
Kwani wao w kina nani....
Tena vizuri sana kama hawajaalikwa wameniudhi sana kususia majadiliano ya bunge la katiba.
 
Ukawa Yuko Seif Sharif Hamad tu, na amengia kama makamu wa rais ya Zanzibar,
Msishangae jumatatu CUF wakajitoa mkabaki na ukawa yenu uswahilini.
 
Maandalizi ya sherehe hizo yamegharimu shilingi ngapi?unajua kuwa pale ocean road cancer hospital hakuna hata paracetamol licha ya daya ya chemotherapy na mashine ya radiotherapy mbovu zinatakiwa tsh 2m.Wameambiwa na wizara wasubiri bajeti ijayo

Kila kitu kinafanywa kwa wakati wake na kila jambo la kitaifa lina umuhimu vilevile.

Suala la kusema ocean road hakuna madawa sijui vifaa katika sherehe za muungano lina mahusiano gani!?

Kama ishu ni hela, kwanini usiwaambie CHADEMA waache kubeba ruzuku ya zaidi ya millioni 300 kwa mwezi ili fedha hiyo ipelekwe ocean road?
 
WanaJF,

Kiongozi wa kikundi kilichoundwa ndani ya bunge maalumu la katiba (UKAWA), mhe Mbowe, ameonyesha masikitiko yake kutokana na serikali kuwanyima mwaliko wa kuhudhuria sherehe za muungano.

Mhe. Mbowe akiwa katika hali ya majonzi amesema kwamba sherehe hizo ambazo zimetokea kuwa kivutio kikubwa kwa wananchi zilipaswa kuhudhuriwa na UKAWA kwa kuwa na wao ni sehemu ya wadau wa muungano wetu.

Aidha, mhe.Mbowe amekiri kuwa yeye pamoja na wenzake wanaounda kikundi hicho cha UKAWA walitamani sana kujumuika na viongozi wa kitaifa katika sherehe hizo kwa kuwa zimefanywa kiustadi mkubwa na hakika zinaweza kuwabadili msimamo juu ya muungano wetu.
Aisee! Kuna watu wana viwanda vya kufyatua uongo...
 
Kama kweli wamelalamika watakuwa hawajui maana ya upinzani
 
WanaJF,

Kiongozi wa kikundi kilichoundwa ndani ya bunge maalumu la katiba (UKAWA), mhe Mbowe, ameonyesha masikitiko yake kutokana na serikali kuwanyima mwaliko wa kuhudhuria sherehe za muungano.

Mhe. Mbowe akiwa katika hali ya majonzi amesema kwamba sherehe hizo ambazo zimetokea kuwa kivutio kikubwa kwa wananchi zilipaswa kuhudhuriwa na UKAWA kwa kuwa na wao ni sehemu ya wadau wa muungano wetu.

Aidha, mhe.Mbowe amekiri kuwa yeye pamoja na wenzake wanaounda kikundi hicho cha UKAWA walitamani sana kujumuika na viongozi wa kitaifa katika sherehe hizo kwa kuwa zimefanywa kiustadi mkubwa na hakika zinaweza kuwabadili msimamo juu ya muungano wetu.

Wewe ni mwongo tu,umejitungia na kujilisha wewe maneno ya Mbowe. This is very cheap propaganda!!
 
WanaJF,

Kiongozi wa kikundi kilichoundwa ndani ya bunge maalumu la katiba (UKAWA), mhe Mbowe, ameonyesha masikitiko yake kutokana na serikali kuwanyima mwaliko wa kuhudhuria sherehe za muungano.

Mhe. Mbowe akiwa katika hali ya majonzi amesema kwamba sherehe hizo ambazo zimetokea kuwa kivutio kikubwa kwa wananchi zilipaswa kuhudhuriwa na UKAWA kwa kuwa na wao ni sehemu ya wadau wa muungano wetu.

Aidha, mhe.Mbowe amekiri kuwa yeye pamoja na wenzake wanaounda kikundi hicho cha UKAWA walitamani sana kujumuika na viongozi wa kitaifa katika sherehe hizo kwa kuwa zimefanywa kiustadi mkubwa na hakika zinaweza kuwabadili msimamo juu ya muungano wetu.

Kama kawaida yako wewe ni ôôô
 
Back
Top Bottom