Mangwelele
Senior Member
- Jul 22, 2013
- 111
- 15
Ndugu yangu Mtanzania mwenzangu, nakushauri usipoteze muda kuwafuata watu wasiokua na uwezo wa kukuongoza wewe.
Ukiaribu kufanya hivyo unapoteza nafasi ya kupata uhakika wa kupata maendeleo na uhuru wa kufanya mambo yako kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Mkiwachagua, amini kabisa kwamba kutatokea na mgongano mkubwa wa madaraka baina ya wageni katika ukawa na wale waasisi, kila mtu atataka kuweka mtu wake ili afanye nae kazi au alinde maslahi yake.
Kuna uwezekano mkubwa wa serikali kushindwa kuundwa Ukawa kusambaratika, wananchi tukaachwa hatuna lakufanya.
Kwanini kuishi huku tukiwazia kesho yetu chini ya wasio jipanga UKAWA.
CCM ipotayari kukuhakikishia wewe na familia yako uhakika.
Chagua CCM achana na wasiwasi wa UKAWA.
2na uhakika na ukawa ww kama hauna uhakika nao 2lia na ccm yako na uongo wao wa kila cku mm nimexhakua hizo xera zako kawadanganye ambao hawajaxoma hata daraxa moja atakuelewa