UKAWA haina uwezo wa kuongoza nchi

UKAWA haina uwezo wa kuongoza nchi

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
38,527
Reaction score
48,842
Ndugu yangu Mtanzania mwenzangu, nakushauri usipoteze muda kuwafuata watu wasiokua na uwezo wa kukuongoza wewe.

Ukiaribu kufanya hivyo unapoteza nafasi ya kupata uhakika wa kupata maendeleo na uhuru wa kufanya mambo yako kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

Mkiwachagua, amini kabisa kwamba kutatokea na mgongano mkubwa wa madaraka baina ya wageni katika ukawa na wale waasisi, kila mtu atataka kuweka mtu wake ili afanye nae kazi au alinde maslahi yake.

Kuna uwezekano mkubwa wa serikali kushindwa kuundwa Ukawa kusambaratika, wananchi tukaachwa hatuna lakufanya.

Kwanini kuishi huku tukiwazia kesho yetu chini ya wasio jipanga UKAWA.

CCM ipotayari kukuhakikishia wewe na familia yako uhakika.

Chagua CCM achana na wasiwasi wa UKAWA.
 
wewe endelea kujamba cheche tu. Oct 25 utaharisha kabisa.
 
Hizi strokes zitakuuwa mwaka huu
 
Tanzania tuna uhaba wa rasilimali watu wenye upeo...na tutaendelea kuwa maskini tu.
 
Ila nakubaliana na wewe kuwa umekubali ukawa inaigia ikulu isipokua unamashaka mashaka juu ya uongozi wake piiiiiiiiipooooooooooooooooozzzzzzzziiiiiiiiìiiiiiii...
 
wakati Nchi inapata UHURU ulikuwepo? Nyerere aliupata wapi uwezo wa kuongoza?

Propa ganda dhaifu kabisa. Mmelogwa nyie sio bure, subirini mtazinduka tu.
 
Rubbish and non sense statement. Watanzania milioni zote hatuna uwezo au unaumwa wewe! Serikali ipi yenye wizara 20 ikose watu wenye sifa? Hizi cm toka zimilikiwe na wanyonge hata wa kufikiri zikawapa uwezo wa kutuma chochote imekuwa taabu kweli

ndugu yangu mtanzania mwenzangu, nakushauri usipoteze muda kuwafuata watu wasiokua na uwezo wa kukuongoza wewe.

Ukiaribu kufanya hivyo unapoteza nafasi ya kupata uhakika wa kupata maendeleo na uhuru wa kufanya mambo yako kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

Mkiwachagua, amini kabisa kwamba kutatokea na mgongano mkubwa wa madaraka baina ya wageni katika ukawa na wale waasisi, kila mtu atataka kuweka mtu wake ili afanye nae kazi au alinde maslahi yake.

Kuna uwezekano mkubwa wa serikali kushindwa kuundwa ukawa kusambaratika, wananchi tukaachwa hatuna lakufanya.

Kwanini kuishi huku tukiwazia kesho yetu chini ya wasio jipanga ukawa.

Ccm ipotayari kukuhakikishia wewe na familia yako uhakika.

Chagua ccm achana na wasiwasi wa ukawa.
 
Rubbish and non sense statement. Watanzania milioni zote hatuna uwezo au unaumwa wewe! Serikali ipi yenye wizara 20 ikose watu wenye sifa? Hizi cm toka zimilikiwe na wanyonge hata wa kufikiri zikawapa uwezo wa kutuma chochote imekuwa taabu kweli

Punguza jazba bwana, ainisha what is Rubbish and what is nonsense from that statement, unless otherwise, unawakilisha a group of incompetent people wanaochangia umasikini kwenye hii nchi kwa kujifanya wajuaji wakati mbele giza..
 
Kwendraaa na mawazo yako ya kilofa..nyerere alipata wapi uwezo
 
Nyerere alikua Mwl .wa pugu akapewa nchi na wazungu leo UKAWA hawana uwezo pumbavu
 
Ndugu yangu Mtanzania mwenzangu, nakushauri usipoteze muda kuwafuata watu wasiokua na uwezo wa kukuongoza wewe.

Ukiaribu kufanya hivyo unapoteza nafasi ya kupata uhakika wa kupata maendeleo na uhuru wa kufanya mambo yako kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

Mkiwachagua, amini kabisa kwamba kutatokea na mgongano mkubwa wa madaraka baina ya wageni katika ukawa na wale waasisi, kila mtu atataka kuweka mtu wake ili afanye nae kazi au alinde maslahi yake.

Kuna uwezekano mkubwa wa serikali kushindwa kuundwa Ukawa kusambaratika, wananchi tukaachwa hatuna lakufanya.

Kwanini kuishi huku tukiwazia kesho yetu chini ya wasio jipanga UKAWA.

CCM ipotayari kukuhakikishia wewe na familia yako uhakika.

Chagua CCM achana na wasiwasi wa UKAWA.

Wewe ni msemaji wa wananchi,tuna vichinjio mwaka huu,CCM hamuwezi kuongoza ndio maana kila kukicha ni hadithi za UFISADI na UWIZI tu na mnauzoefu sana
 
Ndugu yangu Mtanzania mwenzangu, nakushauri usipoteze muda kuwafuata watu wasiokua na uwezo wa kukuongoza wewe.

Ukiaribu kufanya hivyo unapoteza nafasi ya kupata uhakika wa kupata maendeleo na uhuru wa kufanya mambo yako kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

Mkiwachagua, amini kabisa kwamba kutatokea na mgongano mkubwa wa madaraka baina ya wageni katika ukawa na wale waasisi, kila mtu atataka kuweka mtu wake ili afanye nae kazi au alinde maslahi yake.

Kuna uwezekano mkubwa wa serikali kushindwa kuundwa Ukawa kusambaratika, wananchi tukaachwa hatuna lakufanya.

Kwanini kuishi huku tukiwazia kesho yetu chini ya wasio jipanga UKAWA.

CCM ipotayari kukuhakikishia wewe na familia yako uhakika.

Chagua CCM achana na wasiwasi wa UKAWA.

Mawazo mazuri, wala sikulaumu, najua hapo ndo mwisho kabisa wa uwezo wako wa kufikiri. Tangu mwazo wa vyama vingi CCM ilituimbisha nyimbo kuwa upinzani ukichukua nchi kutakuwa na vita, na kwakuwa watanzania wengi ni wadanganyika wakakubali huo wimbo,je unajua kizazi kile kilicho imbiswa wimbo huo kishaanza kuisha? sasa kuna kizazi kipya kinachotaka mabadiliko.

Watoto tangu wanazaliwa mpaka sasa wameota ndevu lakini viongozi ni wale wale na hakuna maendeleo yeyote, ooops najua utadai barabara za magufuli ni maendeleo, ok. lakini ni aibu kwa nchi iliyopata uhuru zaidi ya miaka 50 iliyopita kuanza kuzungumzia barabara kama maendeleo. AIBU.

Umeongelea kuhusu uwezo wa uongozi wa nchi kwa wana ukawa, nitajie kiongozi yeyote wa serikali ya CCM aliye endesha wizara yake kwa mafanikio, by the way usiniletee huyo mtu alie kariri urefu wa barabara na majina ya miji ukadai kafanikiwa kwenye wizara yake wakati tunajua mapungufu mengi tu kwenye wizara yake. ( VIWANGO NA UBORA).

Tumefikia kiwango cha kuchoka serikali ya CCM na sasa tunataka mabadiliko, tunataka tuone inawezekanaje kuishi bila CCM?

CCM SIO MAMA YETU, CCM SIO BABA YETU. SASA BASI. TUMECHOKAAAAAAAAAAAAAA
 
Back
Top Bottom