UKAWA Dodoma hampati kitu

UKAWA Dodoma hampati kitu

we pumbu mm niko dodoma mtaa wa dodoma in jana nilikuwa bayi wanahamu sana kumwona lowasa

Jiheshimu kidogo mkuu, tujitahidi kuwa wavumilivu na kushusha mihemuko ya kisiasa muda mwingine!
 
Muongo mtoto wa kike muongo.dodoma ipi? Hii tunayokaa sisi?
 
Katika majimbo ambayo ukawa ishashindwa kabla ya 25/10 /2015... Ni dodoma.

Katika kura za urais za 2010... Kikwete alipata 88%...ya kura zote za mkoa wa Dodoma.

Mwaka huu CCM inaweza ikapata 98% ya kura za mkoa wote... Na sababu kubwa ni Lowassa.

Huku Kuna maeneo Lowassa watu hawamtaki kabisaaa... Kwa sababu ya kasumba ya vijana wake wa kimasai aliowapa ng'ombe kulisha kwenye mashamba ya wakulima.

Endelea kujitekenya mwishowe vidole vitajaa kinyesi
 
Katika majimbo ambayo ukawa ishashindwa kabla ya 25/10 /2015... Ni dodoma.

Katika kura za urais za 2010... Kikwete alipata 88%...ya kura zote za mkoa wa Dodoma.

Mwaka huu CCM inaweza ikapata 98% ya kura za mkoa wote... Na sababu kubwa ni Lowassa.

Huku Kuna maeneo Lowassa watu hawamtaki kabisaaa... Kwa sababu ya kasumba ya vijana wake wa kimasai aliowapa ng'ombe kulisha kwenye mashamba ya wakulima.

Sababu kubwa ni upofu wa macho na akili
 
TAHADHARI NA CYBER CRIMES ACT.

Dear Admins/Members,

Kuanzia saa 6:00 usiku wa 31.08.2015, mnapo chati katika magroup, mambo yafuatayo yatakuwa yanakuweka matatani kwa kuvunja sheria ya makosa jinai ktk mtandao (Cyber crimes Act)
1. Kupost picha za kingono za watoto au child pornography
2. Kupost picha za ngono au za utupu (Pornography)
3. Kupost taarifa na kujifanya wewe ni mtu fulani wakati sio au kwa maneno mengine impersonation
4. Kupost taarifa au data katika mfumo wa picha ambazo ni uongo, sio sahihi na zinapotosha umma
4. Kupost au kusambaza ujumbe wa kibaguzi
5. Kumtukana au kumdhalilisha mtu mwingine kwa misingi ya ukabila, jinsia ,rangi, dini yake au utaifa wake
6. Kupost picha au chapisho linalohamasisha vitendo vya kigaidi
7. Kupost taarifa ya uchochezi kwa mtu au kikundi cha watu
8. Kutoa matamshi ya kashfa kwa mtu au kikundi cha watu, Taasisi n.k
9. Kupost Breaking News ambazo hazijawa verified au kutoka chanzo kinachoaminika
10. Kupost tetesi

Chukua tahadhari kuwa endapo utafanya moja ya mambo hayo hapo juu basi unajiweka ktk nafasi ya vyombo vya Dola kukuchukulia hatua kwa mujibu wa CYBER CRIMES ACT 2015 na sheria nyingine za nchi. WATCH OUT.

Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom