The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,690
- 2,853
Katika majimbo ambayo ukawa ishashindwa kabla ya 25/10 /2015... Ni dodoma.
Katika kura za urais za 2010... Kikwete alipata 88%...ya kura zote za mkoa wa Dodoma.
Mwaka huu CCM inaweza ikapata 98% ya kura za mkoa wote... Na sababu kubwa ni Lowassa.
Huku Kuna maeneo Lowassa watu hawamtaki kabisaaa... Kwa sababu ya kasumba ya vijana wake wa kimasai aliowapa ng'ombe kulisha kwenye mashamba ya wakulima.