UKAWA, Bunge likianza mtatoka nje mara ngapi?

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
36,974
45,850
Kama kawaida yenu vikao vya bunge vikianza lazima mtoke nje ya ukumbi wa bunge ili tuwaonee huruma kua mnanyanyaswa.

Lakini this time ili kupunguza suprizes tunaomba tu muweke wazi ni mara ngapi na ni siku ipi mtatoka nje ya ukumbi ili tujiandae na makamera yetu kabisa kuwafotoa.

Tafadhalini hili ni muhimu sana maana linaendana na haki yetu ya kikatiba ya kupata habari.
 
Mkuu wee jiandae kwa maneno utakayoyapata,toka kwa hao ndugu zetu
 
Kwanza jifunze maana na sababu za wabunge kutoka nje
Halafu urudi hapa
 
Kwanza jifunze maana na sababu za wabunge kutoka nje
Halafu urudi hapa
Hata wasiporudi ndani hawana impact yeyote , Zanzibar si walisusa wataisoma namba mpk 2020 huku aliyewapotasha anakula bata hotelini na kujinafasi
 
kama kawaida yenu vikao vya bunge vikianza lazima mtoke nje ya ukumbi wa bunge ili tuwaonee huruma kua mnanyanyaswa.

Lakini this time ili kupunguza suprizes tunaomba tu muweke wazi ni mara ngapi na ni siku ipi mtatoka nje ya ukumbi ili tujiandae na makamera yetu kabisa kuwafotoa.

Tafadhalini hili ni muhimu sana maana linaendana na haki yetu ya kikatiba ya kupata habari.
Wasipoonyesha bunge live ndo mwanzo wao kutoka
 
Hata wasiporudi ndani hawana impact yeyote , Zanzibar si walisusa wataisoma namba mpk 2020 huku aliyewapotasha anakula bata hotelini na kujinafasi
Kama source yako ya habari ni "stroke" basi hujui mengi
Dokezo
Tegemeo la pili la serikali ya Jecha ni karafuu mwaka huu hazitokuwepo labda wauze ch*pi za Jecha
Na bado
 
Nadhani watu wanasubiri zaidi reaction ya wabunge baada ya wabunge kibao wa CCM kukutwa na kashfa ya rushwa.
 
MARA ZOTE UMEFURAHI?
sijafurahi mku kwa maaana kama ni mara zote basi kuna hatari ya wananchi kukosa uwakilishi bungeni. na hatari nyingine ya kua na wabunge wanaotegea majukumu yao kama wabunge.
 
sijafurahi mku kwa maaana kama ni mara zote basi kuna hatari ya wananchi kukosa uwakilishi bungeni. na hatari nyingine ya kua na wabunge wanaotegea majukumu yao kama wabunge.

mi naona bora watoke tu mana hata wakibaki bado wabunge wa ccm ni wengi wanapitisha mambo ya hovyo na mikataba feki kwa kura za wanaoafik kuwajadili na kuanzisha hoja yako ni kama kuonesha uwepo wako jf na hata ukawa wa kiwepo hoja zao hazikubaliw ccm wanapinga kifupi bado bunge ni la upande mmoja ila wabunge wa ccm wangekuwepo kwa maslah ya taifa bas tungeona faida ya upinzani.

mnyika aliwah sema tumefika hapa kwa madhaifu ya.. wabunge wa ccm walikataa sna na kumwambia afute kauli yake impact inaonekana ss ktk kutumbua majipu mana walishindwa kuisimamia serikali haya ni matokeo ya bunge dhaifu.
 
Acha kujitoa ufaham hata kama upo ccm.wabunge wa ukawa si watoto kama unavozani.hata kilaza huwa anajua kabisa 7bu znazowafanya ukawa ktoka lakn ktokana na uccm wako huwa unaona kama vle wanataka waonewe huruma
 
Back
Top Bottom