UKAWA Bai Bai, ndio habari ya Mjini

CCM ndioa habari ya mujini. .hatuyumbishwi na galasa letu wenyewe ..hapana chezea chama kubwa hiyoo
 
CCM ndioa habari ya mujini. .hatuyumbishwi na galasa letu wenyewe ..hapana chezea chama kubwa hiyoo

kweli mchawi wenu alowaroga kafa yaani shida zoote bado unashabikia majizi
 
jina lako tu jibu tosha kwamba wewe ni chakula ya watu
 
Fiesta fiesta, ntakumbuka sana burudani ktk kampen za ccm
 






UKAWA wakiona hizi picha lazima WAPANIKI.

Najua mavi yanawabana sana, na wamepanic sana, waswahili wanasema samaki anapokuwa majini huwa anakuwa na nguvu sana, lakini ukimtoa ndani ya maji anapoteza nguvu za asili, Lowasa kwa sasa hana nguvu tena, Lowasa alisema watu wakishapiga kura waondoke hiyo kazi ya kutangaza mshindi yeye ataifanya, sasa baada ya kuona hali ni ngumu na yy kaamua kuungana na Mbowe kupiga kelele kuhusu tume, na safari hii sina hakika baada ya uchaguzi nn kitaendelea kwenye vyama vyao ndani ya ukawa.
 
Mumewaokota kwa fedha na malori harafu mwajigamba, dah! Poleni sana. Wote hao ni UKAWA kwa taarifa yako. Waji danganya sasa ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…