Ukawa bado ngoma ngumu... wagombania majimbo

Ukawa bado ngoma ngumu... wagombania majimbo

matumbo

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
7,224
Reaction score
3,960
Wakuu hali ya ukawa bado ni tete.. Mchakato wa kuachiana majimbo bado una dosari kubwa... Majimbo mengi wameshindwa kuafikiana na sasa kusimamisha mgombea kila chama na mtu wake.

Tatizo kubwa lipo kwa CUF na chadema.
 
sema unalolijua umekuja kuumbea zaidi, funguka urais tayar hivi majimbo ilete ugumu gani, kivipi
 
Wakuu hali ya ukawa bado ni tete.. Mchakato wa kuachiana majimbo bado una dosari kubwa... Majimbo mengi wameshindwa kuafikiana na sasa kusimamisha mgombea kila chama na mtu wake.

Tatizo kubwa lipo kwa CUF na chadema.

We masikini wa akili fanya yako ya UKAWA hayakuhusu....

Mmefunguliwa lini kutoka ktk zile nyumba zenu za laana na ushenzi mwingi mpaka mnakuja kuchafua na kutia najisi watu??
 
We masikini wa akili fanya yako ya UKAWA hayakuhusu....

Mmefunguliwa lini kutoka ktk zile nyumba zenu za laana na ushenzi mwingi mpaka mnakuja kuchafua na kutia najisi watu??

Jobless K.
 
Ila ni kweli na nimeliona hili huku Mtwara
 
hakuna tatizo lolote ishu ni udiwani wameachiwa wilaya watoe mapendekezo lengo ni kutangaza udiwani nan ubunge ila kila jimbo viongozi wanapewa nani atagombea hawaweki wazi maana kuna act ananyemelea masalia
 
Nyie majizi hamfiki October 25 kama masasi ndio wanapigana mpaka ngumi. Makaidi kamgaia jimbo demu wake..
 
hizi ni pumba zingine katika ubora wake. hayo majimbo hayana majina? au ndo yanaitwa majimbo hivyohivyo? upuuzi kabisa.

Wakuu hali ya ukawa bado ni tete.. Mchakato wa kuachiana majimbo bado una dosari kubwa... Majimbo mengi wameshindwa kuafikiana na sasa kusimamisha mgombea kila chama na mtu wake.

Tatizo kubwa lipo kwa CUF na chadema.
 
Fanya siasa kubali ukweli ukawa tunachemsha sasa.kubali kukosolowa ngoma nzito kugawa jumbo kwa chama kisicho hata na ofisi noma

Watanzania uwenda wakijua biashara ya mbowe na lowasa .watajiona wanavyo fanywa wajinga. Na zaidi wanachama wa chadema. Mbowe sasa ni mungu mtu ndani ya chama kiasi cha kuwanyima haki ya kuwachaguwa wabunge wanao waitaji katika majimbo yao. Wakati majimbo ya kasikazini akigawana na marafiki zake. Nchi inaingia matatani.akifikiri nchi inaongozwa na mashairi yake jukwaani

Ati na wewe ni mwana UKAWA?
 
Wakuu hali ya ukawa bado ni tete.. Mchakato wa kuachiana majimbo bado una dosari kubwa... Majimbo mengi wameshindwa kuafikiana na sasa kusimamisha mgombea kila chama na mtu wake.

Tatizo kubwa lipo kwa CUF na chadema.

Subiri uje uone... Awa jamaa ni vurugu mechi.
Mbeya hali ni hiyo hiyo.. Moshi ni hivyo hivyo Dsm nk nk

Ila ni kweli na nimeliona hili huku Mtwara

Hivi mnajua jamii ya JF siyo ile mliyozoea kuidanganya enh? Kwa akili zako Urais wanaweza kukubaliana na shida ikawa majimboni? Na say hypothetically speaking Urais watofautiane(viongozi), unadhani watu watawafuata viongozi hata kama wamekosea? mcheki Prof. Lipumba yuko wapi?

Nyie majizi hamfiki October 25 kama masasi ndio wanapigana mpaka ngumi. Makaidi kamgaia jimbo demu wake..

Uandishi wa kitoto huu fanyia kule sijui face nini huko..

Nyie majizi? Hivi you dare call UKAWA majizi? tena wanapigana ngumi? Naomba nikukumbushe yaliyotokea Dodoma, Kongwa Hivi Job Ndungai alifanya nini?

Jimbo la Busega kwa Dk. Chegeni ilikuwaje?

Hulka ya kukurupuka, kutukana na kupigana ni ya CCM, na they like it to the extent wengine(vyama vingine) wakigombana wanaitwa wenye fujo! Halagu unasema mwisho wa UKAWA ni Oktoba?
 
Sioni maana,waliomwahwa ccm kwa ufisadi ndio wanao kimbilia ukawa.ccm kwa sasa nyeupeee imesafishwa na imejifunza kuutumikia watu.
 
Wakuu hali ya ukawa bado ni tete.. Mchakato wa kuachiana majimbo bado una dosari kubwa... Majimbo mengi wameshindwa kuafikiana na sasa kusimamisha mgombea kila chama na mtu wake.

Tatizo kubwa lipo kwa CUF na chadema.

Matumbo ya sangara!
 
Jamani niambieni.kamati kuu m na vikao vya juu vya maamuzi lowasa anaingia kama nani? Alichaguliwa na nani? Unaona eeh.chama sasa ni cha el.akina mbowe hamna ubavu tena wa maamuzi.huyo ni mfupa ulioshindwa na fisi nasala utauwezza wali!
 
Sasa kinachokukera ni nini? Mlisema ukawa ni ndoa ya mkeka hawawezi kusimamisha mgombea urais mmoja imewezekana.

Mkasema aliyesimamishwa ni fisadi ikaonekana fisadi ni mwenyekiti wenu sasa mmerukia majimbo
mnawasaidiaje ukawa tulieni ili mshinde kwa ulaini
 
Back
Top Bottom