Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,335
- 72,798
Wakati umefika sasa wa Ukawa kujiongeza. Maafisa habari wa vyama hilivyo chini ya Ukawa wakishirikisha wataalamu wengine sasa ni muda wa kununua airtime katika TV zetu walao kwa SAA moja weekend na kuanzisha kipindi kitakachoitwa WAPINZANI BUNGENI WIKI HII WAMESEMAJE?
Hapo kutawekwa clip za baadhi ya michango ya wabunge na mahojiano mafupi mafupi ya wabunge kutoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali. Naamini kikipata muda mzuri wa kuonyeshwa kitapata watazamaji wengi na watu wataelewa yale ambayo sasa hivi yanafichwa.
Vyama haviwezi kushindwa kugharamia kipindi hicho na Nina hakika hata baadhi ya taasisi za haki za kidemokrasia zitakuwa radhi kufadhili ili kuweka wazi yale yanayofanywa gizani kama vikao vya wachawi.
cc Tumaini Makene &others