Ukatiri na unyanyasaji wa mbowe wadhihirika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukatiri na unyanyasaji wa mbowe wadhihirika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Abdalla Khamis, Jun 19, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. A

  Abdalla Khamis Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mnamo mwaka 1958 ni mwaka wa kihistoriakatika Nchi hii ya Tanzania.Mjadala wa kura tatu ni miongoni mwa matukio hayo ya kihistoria ambapo Mwl.Nyerere alikuwa mzungumzaji mkuu katika mjadala huo.Kutokana na huruma, busara,mvuto na ushawishi mkubwa aliokawanao Mwalimu huo;viongozi wa TANU na watu wengine waTabora walipanga mkakati wa kumnyanyua mwalimu huyo wakati atakapowasili kwenye mjadala huo.
  Na tazama jinsi Nyerere alivyoongozwa na busara na huruma kubwa pale alipokataa kunyanyuliwa huku akisisitiza kuwa, hali hiyo ni sawa na ukatiri,unyanyasaji,ubinafsi na utumwa uliopea.Hali ni tofauti kwa Mwenyekiti wa CHADEMA,Freeman Mbowe,ambaye kutokana na ukatiri, unyanyasaji na ubinafsi wake alionekana kujawa na furaha mithili ya mtu aliyefanikisha kupiga chafya pale aliponyanyuliwa na wafuasi wake wa CHADEMAkule Arusha baada ya kupata dhamana ambao kwa bahati mbaya hawajui kama wamelishwa unga wa ndere na chama hicho na hivyo kushindwa kung'amua baya lolote la viongozi wao wadhalimu.Wafuasi hao walionaswa na sumaku kali ya CHADEMA na hivyo kudumaa kimawazo, wanaonekana kuwaona wajinga wataalamu wa saikolojia ya binadamu wanaozifahamu tabia za binadamu kulingana na muktadha mahsusi huku wakijikakamua kutoa hoja zao zilizoathirika na unga huo wa ndere kama watakavyojitokeza katika hoja hii.
  Nilishangawza sana kuona kiongozi huo akifurahia kunyanyuliwa na wafuasi wake ambao kwa bahati mbaya hawakusoma historia ya utumwa nakwamba hiyo waliyoifanya ni 'aspect' yake.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Umeamka nazo? Jamani hang-over ni mbaya sana!
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Wewe umelishwa unga wa nini? Kwanini unaamini katika kulishwa unga?
   
 4. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hangover ya BANGE ni mbaya sans
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  @Madaya, hii hoja yako ni extremely low and represents the highest level of stupidy on your part. Ukatili and unyanyasaji wa Mbowe ni upi hapa? kubwa wa wananchi wanaomuunga mkono? Ulishaona watu wakimbeba mtu mwingine kwa furaha (mahali popote duniani)? Timu za mpira wakishinda ulishaona wanafanya nini? i.e manchester United players & Sir Alex Ferguson? Please reframe yourself from causing further embarrassment! Umbumbumbu wa kutisha huu!
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Karibu kwenye mtandao ila ujue hapa zinaongelewa hoja na si vioja!
   
 7. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  CCM Level kaka
   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Kumbeba mtu juu juu kufurahia ushindi = Ukatili na Unyanyasaji!This is Great thinker's argument!
   
 9. L

  LAT JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  halafu utakuta huyu ni kiongozi wa level ya juu sana katika utawala, yawezekana hata ni mbunge
   
 10. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Huyu anaweza akawa waziri wa magamba pengine yule wa utar........
   
 11. T

  T.K JF-Expert Member

  #11
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni kama vile mtu kakurupuka usingizini, kaposti upupu wake then anarudi kulala....kweli bange mbaya!
   
 12. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #12
  Jun 19, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwa mantiki yake basi kocha wa Barcelona, Pep Gudiola, ni mnyanyasaji wa hali ya juu!! Amekuwa akiwanyanyasa wachezaji wa Barcelona kila wakiishinda Man U manake nimekuwa nikiona si tu walikuwa wakimbeba bali wanamrusha juju juu kwa furaha.
   
 13. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #13
  Jun 19, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Kuna vitu vingine hata unashindwa kujua na kuelewa nini hoja ndani ya maandiko au hata nini akili ya mwandishi, hivi kubebwa kwa Mbowe inaweza kuwa Ukatili kweli? na Je kukamatwa kwake siyo ukatili? Matumizi ya ndege ya serikali kumpereka Arusha nini? na Kesi waliofunguliwa wao baada ya Polisi kuuwa Raia inaitwaje? Awali nilidhani wewe ni mjinga lakini hapana nadhani si ujinga naona kama lengo lako ni kupotosha mambo, lakini unaposha mambo kwa ajili ya shibe ambayo inaingia tumboni kuelekwa chooni huku nchni yako ikiteketea, pole sana hujui ulitendalo.

  Bado tunasafari ndefu sana maana watu kama huyu mtoa mada hii ndio yamkini tulionao wengi hasa ndani ya ofisi za Umma!
   
 14. m

  mukama talemwa Senior Member

  #14
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kama hauna la kuandika bora ukatulia maana ulicholeta hapa ni kioja.Kichwa habari tofauti na habari yenyewe naomba uweke jina lako kamili na namba yako ya simu hili tukuelimishe
   
 15. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,382
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  MADAYAJoin Date : 13th June 2011
  Posts : 6
  Thanks0Thanked 0 Times in 0 Posts
  Rep Power : 0
   
 16. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #16
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,382
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Poor CCM..hivi hawa ndio viwavi wako wapumbafu namna hii?
   
 17. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #17
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ina maana NEPI kashindwa kuwafanyia usahili hawa watu wake ?
  au hakuna wenye viwango waliomba kazi.
  eti wametashwa na sumaku ya CHADEMA sasa hiyo ni sifa kwa chadema au NI dongo kwa CCM?
   
 18. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #18
  Jun 19, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Crap!!!
   
 19. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #19
  Jun 19, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Wewe madaya,umefikia kiwango cha juu kabisa cha upumbavu,
   
 20. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #20
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ..."kila wakiishinda Man U"....kiongozi hapa utawafanya baadhi ya watu 'wagonjweke' cku ya leo maana hata 40 hawajamaliza.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...