Ukatili wa Police | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukatili wa Police

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by step, Nov 1, 2011.

 1. s

  step Senior Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Wana JF salaam
  Siku zote huwa ninawaza nafikiri pengine ni sahihi panahitaji utafiti tu mwepesi kupata takwimu muhimu. Inasemekana kuwa kadri jinsi polisi anavyokuwa katili (inhuman) na ndivyo elimu yake (Highest level of education ) inapumngua kwamfano ukifanya ranking ya ukatili kwa level Nne (Siyo katili, katili kidogo, Katili wa wastani na Katili sana) utapata uhusiano gani ? labda tuanze na wachache tunaowafahamu
  1. Katili sana
  2.katili wa wastani
  3. Katili kidogo
  4. Siyo katili
  Nawasilisha
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mh! wenye takwimu sahihi jamani!
   
Loading...