Ukatili wa baadhi ya wanawake

Lazima tukuhukumu tu unaleta uzi unatupa mipaka ya kukomenti wapi na wapi

Wewe ni mhaini kabisa kesi yako ni ya mauaji

Kama ulimpenda huyo hukupaswa kabisa kuolewa ni aheri ungekuwa unauza papa tu unapopata muwasho

Eti ulikuwa unamuombea 🤣🤣🤣🤣🤣

Wewe ni pesa oriented tu no namna

Unakifungo cha maisha
 
Bwana kweka tunaweza mlaumu kwa kuua lakini wanawake wenyewe ndio hawa🔫
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…