Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,054
- 12,903
In fact,Wakuu, nimeinyaka mahali hii nikaona ni share hapa.
Baba wa mtoto wangu alinikimbia na kuniacha nikiwa na mtoto wa wiki mbili tu. Akaniachia mzigo wote wa kumlea mtoto peke yangu.
Baada ya muda kidogo kupita, nilikuja kukutana na mwanaume mwingine ambaye alinipenda mimi na mwanangu, kama wake kabisa.
Tulifunga ndoa, na hata akajenga nyumba kwa jina la mwanangu, mwanangu anatimiza miaka tisa mwaka huu. Sasa huyu baba mzazi wa mtoto wangu, aliyetoweka alitokea tu miezi michache iliyopita.
Na tangu hapo baada ya kurujea, nimekuwa nikitembea naye kimapenzi wakati naandika haya, nina ujauzito na nina uhakika mtoto ni wake.
Sasa hivi huyu baba mtoto wangu aliyenikimbia amekuwa mfanyabiashara mkubwa. Na mwenye mafanikio, anataka awe sehemu ya maisha ya mtoto wetu.
Pia ameniomba niachane na mume wangu ili anioe, na hata aliniomyesha pete nzuri ya ndoa aliyoninunulia.
Kusema kweli sikuwahi kuacha kumpenda licha ya kunikimbia, yeye ndiye mpenzi wangu wa kwanza na nilikuwa namuombea kila siku arudi.
Tatizo la ni kwamba sijui nitaanza wapi kumwambia mume wangu kuwa nataka talaka, huyu mume wangu ni mwalimu tu wakawaida, lakini amenitunza miaka yote hii na amenifanyia mambo makubwa.
Najisika hatia sana kwa sababu naona sikuwahi kumpenda kwa dhati, pamoja na kwamba ni mwanaume mwema sana.
Hii inaniuma na inanipasuka kichwa kwa usaliti huu unaoendelea, lakini mimi ni binadamu tu na nimechoka kujifisha na kuigiza naomba msinihukumu.
Kama wewe unavyousikiliza wako🙄In fact,
mwanamke mjinga huivunja ndoa yake mwenyewe kwa mikono yake mwenyewe.
Na mkataa pema daima pabaya panamuita kwa nguvu ya kila namna.
Hata hivyo,
ni vizuri zaidi ausikilize moyo wake.
Yes,Kama wewe unavyousikiliza wako🙄
Mleta mada au huyu mwanamke ambaye story inamuhusu?Kwa kifupi wewe ni mtu ambaye kwenye maisha yako hujui unachokitaka.
Wewe ni mtu unayesafiri safari ya maisha lakini hujui unakokwenda. Hili litakugharimu sana!
Nimejichanganya🤣🤣🤣🤣Mleta mada au huyu mwanamke ambaye story inamuhusu?
Haina shida, mleta mada umemnyoosha naye atakwenda kumnyoosha huyo mwanamke ambaye story inamuhusu 😂Nimejichanganya🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Pete inakufanya urudi kwa baby daddy😹😹binti anglia unapothaminiwa Acha harakana hata aliniomyesha pete nzuri ya ndoa aliyoninunulia
UPULUSI GRADE 1.Wakuu, nimeinyaka mahali hii nikaona ni share hapa.
Baba wa mtoto wangu alinikimbia na kuniacha nikiwa na mtoto wa wiki mbili tu. Akaniachia mzigo wote wa kumlea mtoto peke yangu.
Baada ya muda kidogo kupita, nilikuja kukutana na mwanaume mwingine ambaye alinipenda mimi na mwanangu, kama wake kabisa.
Tulifunga ndoa, na hata akajenga nyumba kwa jina la mwanangu, mwanangu anatimiza miaka tisa mwaka huu. Sasa huyu baba mzazi wa mtoto wangu, aliyetoweka alitokea tu miezi michache iliyopita.
Na tangu hapo baada ya kurujea, nimekuwa nikitembea naye kimapenzi wakati naandika haya, nina ujauzito na nina uhakika mtoto ni wake.
Sasa hivi huyu baba mtoto wangu aliyenikimbia amekuwa mfanyabiashara mkubwa. Na mwenye mafanikio, anataka awe sehemu ya maisha ya mtoto wetu.
Pia ameniomba niachane na mume wangu ili anioe, na hata aliniomyesha pete nzuri ya ndoa aliyoninunulia.
Kusema kweli sikuwahi kuacha kumpenda licha ya kunikimbia, yeye ndiye mpenzi wangu wa kwanza na nilikuwa namuombea kila siku arudi.
Tatizo la ni kwamba sijui nitaanza wapi kumwambia mume wangu kuwa nataka talaka, huyu mume wangu ni mwalimu tu wakawaida, lakini amenitunza miaka yote hii na amenifanyia mambo makubwa.
Najisika hatia sana kwa sababu naona sikuwahi kumpenda kwa dhati, pamoja na kwamba ni mwanaume mwema sana.
Hii inaniuma na inanipasuka kichwa kwa usaliti huu unaoendelea, lakini mimi ni binadamu tu na nimechoka kujifisha na kuigiza naomba msinihukumu.
Na hiyo ikawe funzo kwa vijana wengine wasio jitambua wanaowapenda na kuwaoa single mothers
BTW, Marufuku kuoa single maza.
Ndo maana single maza mnatukanwa sababu ya upuuz kama huu
Shame