Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 6,169
- 11,267
SureHakuna kiumbe chenye huruma na katili kama mwanamke duniani.
SureHakuna kiumbe chenye huruma na katili kama mwanamke duniani.
Suala la roho mbaya si kwa mwanamke wala mwanaume, ni wote tu inatokea ktk jinsia zote, uyo naye alikuwa na roho yake ivoivo kwa uyo binti na bora wamama sa zingine kuna wenye roho ya kulea mtoto wa mume vizuri kabisa na usjue km sio mwanae, wababa wengine awatakagi kabisa habari za mtoto wa mke wake adi wengine wanawalawiti na kuwabaka watoto za wake zaoUnaweza kuta kwa sasa ndio anajidai kumpenda na anapata msaada, wakati matoto yake kwa kuyadekeza yamekuwa bogus. Wanawake hivi huwa mnakwama wapi kushow love kwa binadamu wenzenu (watoto wakambo) yaani unafanya utafikiri wawo ndio waliku lazimisha uende kwa single father.
Sijui kisa kamili lakini kwa kiasi furani mzee alitimiza wajibu wake kumsomesha japo kumfatilia wakati mtoto alikwama na kufichwa na kivuli cha mke.
Ushauri kwenye familia za hivi wababa hakikisheni mnarudi nyumbani mapema na mnakula meza moja na watoto wote ikiwamo kuwafuatilia maendeleo yao. Kuna uzoefu baba wa kiswahili huwa anawekewa chakula kingi, bora watoto wakose, wakati walio wengi hula nje na kwa kuondoa soo hujilazimisha kula home matokeo ni mavitambi yamejaa mtaaani.
Ukiwepo nao karibu watoto wanapumua mihenyesho ya mama wakambo.
Swali wanawake mnakwama wapi jamani, yaani nyie mnashow love kwenye dushe tu, ila dushe hilo hili likifanya yake huko mtaani matokeo yake hayakubariki home.
Maisha niliyopitia nikiwa mdogo ni hayo ya Awele lakini nikawa na akili shuleni na chuoni, watesi wangu hao hao sasa hivi wanaona aibu na ninawasadia, watoto wao hata mmoja hakuna aliemaliza form four achilia tu kuwza kujimudu kimaisha nimemaliza chuo nimepitia changamoto mingi sana ikiwemo kupigwa mimba na kutelekezwa ila sijakata tamaa.
Hiyo sentensi ya mwisho ndiyo imenitoa machozi kabisa!!"I was abandoned by my mother at the age of seven months (7months) with my father and stepmother. My stepmother was mean. I endured all manner of maltreatments she meted at me. Sometimes I went hungry for days. She would so starve me that I would be seeing death.
On one occasion, I was very hungry that I had to eat our dog’s leftovers food. Our neighbor’s son caught me eating the dog’s leftover food (eba and egusi) and he told his mother who later that evening invited me to her house and asked me if what her son said was true. I was so terrified that I begged her not to tell my step mother, because she will kill me if she knew that I ate the dog’s leftover instead of throwing it away.
The woman wept and promised to give me food everyday without my stepmother’s knowledge, a promise she kept till we left the compound. As if starving me was not enough punishment, my Stepmother flogged me mercilessly until I would faint at times. She would also apply pepper in my vagina, eyes, armpit and neck, tie me up and abandon me in one of the toilets for days without food. Despite all these experiences, I was very bright academically and was loved and favored by God and people.
I knew that the only way to escape was to achieve educational success, so I never joked with schooling. So you see, I have every right to be hateful, bitter, jealous, arrogant, sad, negative and toxic but I chose not to."
~ Awele
View attachment 1227122
Maisha niliyopitia nikiwa mdogo ni hayo ya Awele lakini nikawa na akili shuleni na chuoni, watesi wangu hao hao sasa hivi wanaona aibu na ninawasadia, watoto wao hata mmoja hakuna aliemaliza form four achilia tu kuwza kujimudu kimaisha nimemaliza chuo nimepitia changamoto mingi sana ikiwemo kupigwa mimba na kutelekezwa ila sijakata tamaa.
Ninyi watu mnazidi kuniliza!!Naomba umpende mean so hata km unamchukia Baba yake..
Nililelewa na mama ambae alikuwa na stress za kukataliwa na mumewe. Ile chuki kuu aliyokuwa nayo moyoni ndio nilikuwa sehemu ya kuionyeshea..
Fimbo
Kutukanwa
Kulala nje
Kunyimwa chakula
kuwekewa upupu/ndafii kwenye mfuko wa salfate unafungiwa huko nknknk.... ! Ohooooo huyo learned sister kwangu ilikuwa trailer...
Mama pumzika salama na nakupenda.
Ninyi watu mnazidi kuniliza!!
Daah poleni sanaNi maisha tu.
Hilo wigi ni muonekano tuu kwa nchi za common law (jumuiya ya madola)Hivi kwa mawakili kichwani wanaweka nini kwenye nywele zao ni wigi ama,?
Na ni lazima kwa kila wakili au ni fashion Tu kwao
Mungu akupe zaidi,najua yawezekana kupata mimba ulikuwa pia nikutokana na mzingira magumu uliyopitia.Mungu akutie nguvu
Alafu Mungu alivyo na miracle watoto wengi wanaolelewa na wazazi wao wa kambo kwa mateso huwa wanatoboa kimaisha kama alivyo wa kwenye story hii. Cha kushangaza hao hao wamama wa kambo uanza kulalamika eti waliwalea vizuri hao watoto ndiyo maana wakafanikiwa hivyo wanataka warudishiwe fadhira. Aisee hii dunia iko very complicated. Haieleweki kabisaa.Kuna watu wamepitia haya maisha na tumewaona.
Mimi huwa najiuliza, kwani huyo binti anatoka na mumewe!?
Aaafu usikute na yeye ana mtoto wake aliyekuja naye hapo anampendelea kama Nini!!
Na wanaume huwa tunapotezea Sana habari za watoto kwa kujidai tunawapenda Hawa wanawake.
Mwanamke anayemtesa mtoto asiyekuwa na kosa akikosa anachokitaka kwako anaweza kukuua kabisa.
Sentensi yako ya mwisho ndiyo yenye maana sana. Hayo mengine uwezi kujua, kuna wanaopatwa na hayo yaliyokupata au hata magumu zaidi wakiwa geiti Kali na wana watu wa kuwaongoza 24/7. Cha muhimu tushukuru Mungu kwa aina yoyote ya maisha anayotupisha.Ndivo ilivyo, ningekuwa nina mama au ndugu wa kuniongoza nisingefika huko.
Ila Mungu ni mwema siku zote.
Inasikitisha sana...
Ila hawa wanaoleta hizi simulizi...
Inawezekana vipi mtu ukashindishwa na njaa, ukapigwa, ukafanyiwa ukatili wote alafu still psychologically uwe fit wa kukumbuka kupambana na elimu to success...
Za kuambiwa changanya na za kwako...
Cc: mahondaw
Inasikitisha sana...
Ila hawa wanaoleta hizi simulizi...
Inawezekana vipi mtu ukashindishwa na njaa, ukapigwa, ukafanyiwa ukatili wote alafu still psychologically uwe fit wa kukumbuka kupambana na elimu to success...
Za kuambiwa changanya na za kwako...
Cc: mahondaw
Nilikuwa napewa chakula na kuhudumiwa na ninaosoma nao lakini mpaka niwe nimeweza kwenda shule maana siku zingine mikono au miguu inakuwa imevimba au imechomwa chomwa moto najikuta na maumivu siwezi kutembea ama kushika kitu, sehemu ya kichwa na popote naweza kuwa nimepigwa na kuvimba, siku nikibahatika nikifika shule tu wananidaka na kuniweka kati baada ya hapo nawapa pindi, kitu cha ajabu kabisa ni kuwa ile final touch chochote nitakachosoma mda huo lazima kitoke kwenye chumba cha mtihani ikapelekea chuoni kusema ninavujisha mitihani na wanafunzi wenzangu kuwa wananiwinda ninachosoma wakati wa mtihani.
Very Sorry my dia,Asiyepitia haya maisha hawezi kuelewa, usiombe yakukute ,R.I.P My dear Dady and MomyHakuna mama wa kambo wa kumtesa mtoto vile nimeteswa. Jamani
R.I.P. my mom..n I love you...!!!