Ukata wasambaratisha biashara Kona Baa - Afrika Sana

Kutokana na hali kubana (hela kuwa ngumu) wateja wa kona baa Afrika Sana kwenye biashara pendwa wamesambaratika na wamebaki kutumia sabuni na mikono ili kuendana na kasi. Hongera Hongera sana
Weka photo mkuu, ila cku hizi ipo level ingine kuna duka pale jirani unaenda unakuta picha na namba unatwangiwa unaongea nae unaenda kwara simpo laiki zat mkuu
 
Duka gani hilo mkuu
 
Watu sikuhizi wanatafutana via Smartphones kwa App za Whatsapp...mtu anatuma pics zake au calling na SMS za kawaida wanamalizana.

Utakachoona ni trip za bodaboda na bajaji zikiwabeba hao warembo mtaa hadi mtaa kwenda kushuhulikiwa. Hela inatumwa via Mpesa,tigopesa ama Airtel money....hakuna haja ya kwenda kupigwa na baridi na kubargain pesa face to face na zaidi kuonekana barabarani.
 
Hii ni kweli na nimeishuhudia mara kadhaa kwa macho yangu.
 
Back
Top Bottom