Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Habari wanaJF,
Sasa nidhahiri kabisa kuwa zie propaganda zilizokuwa zikiendeshwa na vijana wa Lumumba sasa zinakariba kufikia mwisho hii nimepenyezewa na mdau ambaye alikuwa ni mmoja ya wanaochukua zile buku 7 kwaajili ya kuendesha propaganda za utetezi wa makosa ya Chama. Inasemekana kitengo hicho kilikuwa ni kwa maslahi ya watu na dalili zinaonyesha mwenyekiti mtarajiwa hana muda wa kuendeleza utaratibu huu.
Taarifa zinasema sasa posho za mtandao zimeshushwa mpaka buku 2 badala ya ile ya mwanzo buku 7. Hata mkutano wa kukabidhi madaraka unasuasua kwasababu chama hakina fedha.